Recent content by Beem

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea. Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)

    Namba hazidanganyi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Kuridirudi kwa huu uzi ni kukumbusha kuwa ipo siku wahusika watajibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Iko siku
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwetu sisi CUF, Lwakatare ni kama Okwi na Niyonzima

    Hamna ishu sasa hivi, hamna mvuto tena, mko nyuma ya ACT na hata NCCR wanaenda kuwazidi. Mtabaki kama TLP'. Mtaishia kuwa mamluki wa Chama Twawala.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chini ya Mwenyekiti Magufuli akaunti ya CCM yanona, kutoka million 5 kwa mwaka hadi bilioni 20!

    Hizo watajibu wenyewe Chadema. Ila hapo Mkuu umenikumbusha zile1.5 Trilion
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chini ya Mwenyekiti Magufuli akaunti ya CCM yanona, kutoka million 5 kwa mwaka hadi bilioni 20!

    Msaada kutoka uchina kutokana na mahusoano mazuri aliyoyatengeneza Mstaafu J.K
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

    Sawa ni mtizamo wako, myopic mtizamo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Wenye uwezo wa kufikiri na kudadavua watakuwa tu na mashaka na hotuba ya leo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Tupe rationale ya kufungua vyuo na kufunga shule
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Amesema maambukizi yamepungua sana na wamebaki wachache sasa kwa nini useme shule zitafungwa zifunguliwa vyuo. Watafungua vyote
  12. B

    JamiiForums Tanzania Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    Dunia ipi? Ya Lumumba au
  13. B

    JamiiForums Tanzania Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    Miujiza na uchawi vyote vipo
Back
Top Bottom