Recent content by beekeeper

  1. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Sina connection ZALI tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Yes
  3. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Mchakato niliuanza muda kwel tangu mwaka WA fedha 2018/19. Nikajibw endapo nafasi ikitokea ntajulishwa. 2019/20 nikaomba tena na 2020/21 nikaomba tena ndio SA hv mwanga umepatikana. . Niliandika barua ya kuomba kuhamia nikapitisha MWA mwajiri wangu nikapeleka kote. Nilijibiwa hakuna nafasi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Asante kwa taarifa hizi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Thanx kwa ushauri
  6. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Siwajui ndio mana nikaomba ushauri niweze kufanya maamuz. Ndio mana nikataka nijue atleast range ya basic salary na fringe benefits zingine Kama zp
  7. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    NHIF au Psssf?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Ok Sawa nimekuelewa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Psssf
  10. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Sijaipata Ila naulizia nifahamu mana nimepata option ya kuhamia ya taasis mbili za serikl mojawapo hio ndio natk nilinganishe ili nijue niende wap kat ya nhif au Hy taasis
  11. B

    JamiiForums Tanzania Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

    Habari wadau. Naomba kujua range ya basic salary ya Mhasibu level ya degree wa NHIF. Naomba kuwasilisha
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia hiyo jackpot ni Kama Jambo la ziada kwenye plan kwa ajili ya kuenjoy Tu betting
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi sidhani kampuni kubwa Kama Ile ifanye utapeli. After all kuna jamaa namfahm alishapata bonus ya game 12 na akapata mpunga wake.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nadhani nazaidi ya miaka 5
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niaje wadau. Nina idea hapa watakaovutiwa nayo wanaweza kuunga mkono juhudi. Naamini wengi wetu humu tuna idea nzuri Tu ya kubeti. Nahitaji tupate watu 13 ambao wenye Nia ya dhat ya kuitengeneza faida kupitia betting Ila wawe wavumilivu. Watu hawa angalau kwa wiki tuwe tuna weka mikeka angalau...
Back
Top Bottom