Recent content by Bebeto01

  1. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

    Ishu ni kuwa kocha wako anaweza kuanza na bocco mi ndio huwa nachoka hapo aisee
  2. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Najua wasema hii kauli ili kujifariji sababu labd unampend which I understand,ila brother kama ni mtu ambae umepanga kutokuwa na future inavumilika ila kama umepanga kuishi nae katika shida na raha huyo hawezi change,ata act kubadilika kiasi ukimsema ila kama ni hulka yake itajitokeza tena na...
  3. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

    Unakifua?sio unajibu hapa then ukienda unaanza kumbembeleza,huyu mtu huhitaji adhabu,muadhibu mentaly,mpige chini bila vurugu yoyote,atajidharau na siku wakizinguana na mtu wake lazima akukumbuke,mjini wanawake kibao unaumiza kichwa kwa mwanamke ambae amekueleza kabisa hakutaki,weka akili yako...
  4. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania Mikutano mingi na Mayele ya nini?

    Sikia hii,inasemekana katika mkataba wake uliopo kuna kipengele ambacho kinamruhusu kuondoka kama kuna team inafikia matakwa ,yaani team ikitokea inafika bei na maslahi binafsi ya mchezaji akavutiwa nayo kipengele hiko kinamruhusu kuondoka ,hiko kipengele kinampa mayele nguvu kubwa kuliko yang...
  5. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Umeongea kila kitu,mwanzo wa mahusiano ndio unaonyesha mwanga mbeleni kama mtu ulitoa sana mwanzoni means lazima uendeleze ,it’s crazy world tunaishi aisee ,hiki kizazi cha miaka hii hapana
  6. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Nakubaliana nawewe asilimia zote,hawa watu wanaenda nawewe jinsi ulivoanza nao,ukijifanya unazo mwanzoni basi utakua ATM muda wote,how you started ndio taswira ya mahusiano yatakavoenda,we should be bold ,nakusaidia inapobidi ila sio kuwa dhaifu this much aisee
  7. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Bei inakua juu ila quality yake sio ya dunia hii,hizi zetu za elfu 35 ni kuzivumilia tu ila Ukifua mara tatu aisee sidhani kama zinabaki na ubora hata nusu yake,sie bado sana tuendelee tu kufurahia utani wa jadi nani mwenye jezi nzuri na nani kasajili vizuri siku ziende
  8. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Nani kakundanganya?sio kweli,mfano jezi za man u ambayo ni team ninayoshabikia kuna jezi aina mbili,moja ya mashabiki na moja ile ile ya wachezaji wanayoingia nayo uwanjani kumbuka hizi jezi ambazo wachezaji wanacheza nazo na hizo ambazo unaona mashabiki wanavaa ni mbili tofauti kwenye material...
  9. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Unajua sana mzee,hata ambao sio wafuatiliaji wa story ndefu hii tunaifuatilia
  10. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Ukikausha ukaushe mazima,akikutafuta yeye akijishusha it’s ok ila akikausha we kausha mazima kujenga heshima yako,hili pia linategemea na kifua cha mtu,kuna watu hawawezi hili na ujue kabisa mwanamke akikukaushia ukaanza kumbembeleza basi anakudharau na kukushusha heshima mazima
  11. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

    Anaharibu sana mashambulizi sababu mara nyingi anataka kujaribu yeye,ubinafsi unaondoa ufanisi mbele pale ,
  12. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

    Sijui kwann asiwe anaanza na phiri ,saidoo basi tu ,ni mzuri ila muda mwingine hapana
  13. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

    Hii ndio hitimisho la kila kitu,key word ‘’mwanamke akikuelewa hasumbui’’
  14. Bebeto01

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis Cross Rider inauzwa

    Habari za wakati huu wakuu, Nissan Dualis Cross Rider Price/Bei: 18.8M Nissan Dualis Cross Rider Year: 2008 Engine Capacity:1990cc Automatic Transmission Colour: Silver Sports Rims, New Tyres, Black Interior Very Good Condition
  15. Bebeto01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife katoka out bila kunijulisha

    We jamaa una mentality kama yangu asilimia zote,napenda sana kuishi na ho viumbe ki masculine kwa asilimia [emoji817],sijawahi kujutia kumpoteza yeyote na mara zote wao huwa wanarudi kwa misamaha mingi,sometimes kwa hii mentality yangu sijui kama nitaoa aisee
Back
Top Bottom