wewe ndi mkuu nini? basi kuna shida hapo tena kubwa nadhani mkuu aliepandishwa cheo ndio alikuwa anafaa zaidi kwani kuna baadhi ya mambo alivyoletwa kutoka songea ttc alifanya ambadiliko ya haraka na alisaidia chuo mpaka wanafunzi kubwa ya wengi wamefaulu kwa kiwango cha juuu. Shida ya...
usiwatetee hao mimi nawajua vizuri kwanza ni miongoi mwa idara ambazo zinaendeshwa hovyo hovyo na inaongoza kwa kuvujisha mitihani mitihani mingi tuliofanya pale mara nyingi wasichana waliotumiwa na waalimu walikuwa nayo siku 3 kabla ya pepa poleni sana
Humu huwa wanapita mkuuu nilipita pale korogwe ttc madudu hayo yapo mengi tuuu niliwahi kutongozwa na gunda akawa ananiletea fujo kesi ilifika mpaka kwa mama mwadili lakini niliambiwa wewe umeikuta tasisi na taratibu zake kwahiyo siwezi kuibadilisha. kwahiyo nilikomaaa kibishi mpaka...
Wafuatilie barua zote za uhamisho nyingi ni za watu wametoa pesa na wanachokushaghuli baaada ya kutoa pesa nikuandika barua ambayo itaaapitishwa na mkuu wako wa idara yeye ataaandika chochote kile kwenye barua yako lakini mtumishi atahamishwa kutoka kituo X Kwenda kituo Y. Asilimia 95 za barua...
Wafuatilie barua zote za uhamisho nyingi ni za watu wametoa pesa na wanachokushaghuli baaada ya kutoa pesa nikuandika barua ambayo itaaapitishwa na mkuu wako wa idara yeye ataaandika chochote zilizotumwa kwenye halmashauriu
uhamisho ni haki yako mdada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.