Recent content by beautiful mariamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

    upinzani uliisha 2015 na ndio maana sasa hivi wanagombana wenyewe kwa wenyewe upinzani ungekuwepo kama lowasa asingekuwa chadema.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM zaidi ya 58 wajiondoa CCM na kujiunga na Chadema Sombetini Arusha

    sasa huu ni upuuzi na hao wamenunuliwa?? maana wakitoka chadema kwenda CCM wamenunuliwa na je wakitoka CCM kwenda chadema?? siasa mchezo mchafu
  3. B

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    lazima walipe wasipolipa kodi itakusanywa wapi?? halafu huo utaratibu wa EFD ni wazamani sema wauza mafuta wengine ni MAZWAZWA hawataki kulipa kodi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hai: Nyumba ya mwenyekiti wa CCM yachomwa moto

    MAKUBWA IMEKUWA REVENGE HII...SII TUTAUANA KWA FAIDA YA WACHACHE
Back
Top Bottom