Recent content by beal

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kariakoo Derby yawaleta Africain Bongo

    Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

    Wewe kama cyo mchawi umewajuaje hao akina matunguli?
  3. B

    JamiiForums Tanzania ROHO MBAYA YANGA YADHIHILIKA KWA KUWAPOKEA NKANA

    Sawa bakita
  4. B

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

    Umekuwa mpiga ramli
  5. B

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

    U Umejipa kazi ya shekh yahaya naona
  6. B

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

    Hakika Ogopa Mchawi na Mnafiq Ngoma siyo yao ila wapo tayari kujitoa Roho. Jamaa mmoja aliepitiwa na Rungu la TFF asijihusishe na Michezo hajakoma Jina kapuni Ambae ni mnazi wa yanga na M/Kiti serikali ya mitaa tandika na Mwingine aliewahi kucheza mchezo mchafu kwa serikali (kesi haijaisha)...
  7. B

    JamiiForums Tanzania ROHO MBAYA YANGA YADHIHILIKA KWA KUWAPOKEA NKANA

    Imani ipi,
  8. B

    JamiiForums Tanzania ROHO MBAYA YANGA YADHIHILIKA KWA KUWAPOKEA NKANA

    Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo. Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CUF na Naibu Mbeya Jiji la Dar wajiunga CCM: Wadai Viongozi wa Upinzani ni wanafiki.

    Cuf ya lipumba ndo cuf halisi, hao wamemfuata ndugu yao Mtatiro wakimaliza maalif Seif naye yuko njiani maana ameahidiwa jimbo la chakechake 2020
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160?

    Unaelekezwa halafu uje uwakimbie bodi ya mikopo utapata laana aisee
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa adobe photoshop keys na windows 10 activator

    Shukran sana, ubarikiwe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa adobe photoshop keys na windows 10 activator

    Kama heading inavyojieleza, ninahitaji msaada kwa yeyote mwenye window ten activator na adobe photoshop. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Apambane na hali yake. Aliposema huyu atawabatiza kwa moto alijua nan?,hakujua kama nae moto unamsubiri
  14. B

    JamiiForums Tanzania PDF to WORD converter

    Ingia kwenye hii link itakusaidia sana Www.smallpdf.com
  15. B

    JamiiForums Tanzania Fukuto kubwa laibuka Yanga; wachezaji wanyoosheana vidole, Canavaro amwambia Chirwa kaa kimya wataka kuzipiga

    Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza kuzungumza, mzunguzaji wa kwanza alikuwa ni nahodha msaidizi Kevin Yondani ambaye yeye alielekeza lawama...
Back
Top Bottom