Recent content by BEAKER

  1. B

    Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

    Sasa tumeshajua waliwatesa babu na bibi zetu kwa nini yunaendelea kuwathamini hawa jamaa (wazungu na waarabu), kwa sababu wakija kwetu wao wanapewa nafasi ya juu katioka ajira, uwekezaji wanapewa na mishahara minono wanapewa wao hivyo basi bado mpaka sasa Waafrika hatujaamka na hatupaswi...
  2. B

    Taifa linaloendelea halihitaji wasomi wa juu sana katika uongozi wa kisiasa

    Katika mtzazamo wangu nimegundua kuwa Taifa linaloendelea halihitaji wasomi wa juu sana katika uongozi wa kisiasa nikimaanisha raisi na wateule wake, bali viongozi wengine wasio na uhusiano wakisiasa moja kwa moja wanapaswa kuwa wasomi. ukiangalia wateule wote ambao wanatumikia nafasi za kisiasa...
  3. B

    Job Ndugai: Wananchi wawachague wakuu wa mikoa

    wakuu wa mikoa na wilaya waombe kazi kulingana na taaluma zao na sii kuteuliwa kisiasa
  4. B

    Mabadiliko yenye utata

    Kwa akili ya kawaida ni vigumu kuamini kama J. Ntatiro angehama chama cha upinzani lakini kutokana na viashiria vya chama tawala hilo halikwepeki cha kufanya sasa hivi ni kupokea tu taarifa maana alishapangiwa mipango tokea muda ambao ulikuwa ukisubiriwa kwenye makubaliano juu ya mapokezi. Watu...
  5. B

    Uongozi ni hekima

    Sera za Raisi wetu wa awamu ya tano ni nzuri sana kujenga Tanzania ya viwanda ili kuiwezesha kuingia katika uchumi wa kati lakini je swali la kujiuliza itawezekana kwenda sambamba na uwezo wa wananchi wake kwenye uwezo wa kufaidi au kumudu bidhaa zitokanazo na viwanda hivyo?. Mambo mengi...
  6. B

    Uongozi

Back
Top Bottom