Nahitaji kununua kwa mtu lakini imeonelea ni pate ushauri kuhusu changamoto zake, ubora wa engine yake maana muuzaji ameniambia inatumia vvti, sasa mm si mzoefu
Kuna rav 4 L nilitaka nunua muuzaji aliniambia tena hii gari ni nzuri zaidi maana injini yake ni vvti, je inamaana walibadilisha injini na upi ubora wa injini kuwa vvti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.