Recent content by BCBlack

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Ahsante kwa elimu hii bomba nitaifanyia kazi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Roho ya hofu imenijaa

    Pile sana kama wewe ni mjuzi wa mambo ya mtandao ingia ktk Google andika neno mindfulness au jina Dr Jon Kabbat Zinn kisha bofya fuatilia yote yaliyoandikwa humo utashangaa tatizo lako siyo kubwa kama unavyofikiri hiyo hali itakutoka ukifuatilia nilichokwambia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Faida muhimu zinazopatikana katika kufanya Meditation/Taamuli (Kisaikolojia)

    Bingwa wa hicho nilichoandika yaani mindfulness anaitwa Dr Jon kabbat zinn hiyo mindfulness inapatikana baada ya taamuli ina leta Furaha moyoni
  4. B

    JamiiForums Tanzania Faida muhimu zinazopatikana katika kufanya Meditation/Taamuli (Kisaikolojia)

    Aisee nimependa sana hii makala yako ahsante sana Mimi ni mpenzi wa taamuli na tangu nimeanza kufanya mabadiliko makubwa nimeyaona zamani nilitawaliwa na hofu sana siku hizi inaendelea kupungua na ni kwa sababu ya taamuli na like kinachoitwa mindfulness kuna bingwa hii anaitwa Dr Jon Kabbat Zinn
Back
Top Bottom