Recent content by BBA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutumia Azam

    nenda kwa wakala wake kuna vitu wanaingiza ndo inafunguka
  2. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC, hii sasa sifa...

    Taitizo mshazoea kusajili majina sio vipaji. Nakuhakikishia SSC wakiongeza gear kidogo toka walipokuwa last season mambo yatakuwa mazuri sana. NYIE MBELEKO FC HUWA MNASUMBUA SANA WAKATI WA USAJILI LIGI IKIANZA WA KAWAIDA SANA
  3. B

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia katika Kambi ya Simba SC kisiwani Unguja

    SAD NEWS: Mavugo hatajiunga na Simba kwa kuwa Vital'O wamepanda dau toka 100millions hadi 200mil afu waendelee kumiliki 50% pindi akiuzwa. My concerns: let's be professional, utatangazaje kuwa umemsajili mchezaji fulani kabla hamjamalizana na klabu yake. viongozi wetu wamezoea kukurupuka...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua jezi za mpya za Simba mtandaoni

    Waache waendekeze utegemezi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kaseja Anukia Msimbazi

    Na Mzanzibar waliyemsainisha wameshindwa tena kumlipa?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kaseja Anukia Msimbazi

    Hapana bt angalia jinsi kaaseja alivyotoka Simba, mashabiki wa Simba hasa wa Dar walianza kumkataa mpaka uongozi ukamtosa. Vile Kaseja huwa hawaivi na Ivo kumleta ndo yataanza ya kuwagawa wachezaji. Licha ya hivyo na yeye ana kaunafiki. Wazee waishie kwa Boban JKJ hapana akasome ukocha tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kaseja Anukia Msimbazi

    Hata mimi simkubali Kaseja, yule anatabia za akina Zitto za Kinafiki. Boban kama mwalimu ni mwanasaikolojia sawa make hana maneno zaidi ya kazi. Mwalimu amfunde kupunguza hasira. cc: Sembo na qote walio karibu na uongozi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua jezi za mpya za Simba mtandaoni

    huyu jamaa n ku..m kweli
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua jezi za mpya za Simba mtandaoni

    Asante sana mkuu. ntapiga kesho asubuhi nataka niwe wa kwanza hapa Mwanza
  10. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Safari ya Kikosi cha Simba SC toka katika Fukwe za Bahari hadi kisiwani Unguja

    samahani mkuu kwa kutoka kwenye mada, hawa kampuni ya jumia wameweka simu ambayo ni inactive najaribu kuwapigia ili nipate jezi simu haipatikani. wasitue watuwekee active namba tupate huduma hiyo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia katika Kambi ya Simba SC kisiwani Unguja

    mkuu sembo , kwa heshima na taadhima, naomba majina ya vijana wetu waliocheza jana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

    Subirini mechi ndo mseme.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Okwi kuwika leo?

    Mi nlidhan kuwa watu wa humu ni MAGT, kumbe wengine ni vilaza tu . wazungu hawana papara km ninyi mti anacheza kama yuko na mechi fitness. kusajiliwa juzi wewe umeanza kushangaa kwamba hajajumishwa kwenye kikosi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

    hawana kitu hao. Maneno tu ndio yao
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

    hapa natumia cm ntacheki kwny pc. But napataje wadhamini make naweza lipa wakati wowote
Back
Top Bottom