Ndugu Isangi Family,
Kwanza kabisa niendelee kukushukru kwa kuvutiwa na mada hii. Naomba nikutaarifu BB Pharma Consultancy Ltd hatutoi vibali wala usajili bali tunasaidia wafanyabiashara (mfanyabiashara) wa bidhaa tajwa hapo juu kupata usajili na vibali kutoka mamlaka huska (TFDA na mamlaka...
Mkuu Isanga family,
kwanza kabisa tukushukuru kwa comment yako, Pili naomba utupe nafasi tujieleze hasa sisi ni wakina nani na tunafanya.
Kama inavyojieleza hapo juu, kampuni yetu inajulikana kwa jina BB Pharma Consultancy Limited, ni kampuni inayotoa ushauri na msaada wa kitaalamu kufanikisha...
Ndugu msomaji wetu, mfanyabiashara na Mjasiriamali.
Leo tunataka kukujuza juu ya undani wa biashara ya vipodozi hapa Tanzania. Biashara ilioyoenea sana lakini wengi kwa kutokutambua, huifanya bila kufuata utaratibu..na matokeo yake huwa si rafiki hata kidogo kibiashara.
ELIMU hii, kama si...
Hodi wana JF,
Nasi tunapenda kuingia katika ukumbi huu wa GT.
BB Pharma Consultancy Limited ni kampuni ya kitanzania inayotoa msaada wa kitaalamu katika masuala ya usajili wa bidhaa na huduma za afya.
Kwa ufupi huduma zetu zimejikita kwenye maeneo yafuatayo;
1. Kusaidia usajili wa bidhaa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.