Recent content by Bazilio

  1. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumelogwa na nani tunashangilia walawiti kuachiwa, tumewafikiria wahanga?

    Na watanzania sijui tukoje tunawasemea waathirika bila wao kutoa tamko lolote kijua ukweli halisi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha siri cha CCM juu ya Jimbo la Singida Kaskazini

    Sio siri tena umeshakia fununu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi BAKWATA Makao Makuu wakosa mishahara kwa takribani miezi 11. Mufti, familia yake wapo matanuzi Morocco

    Likikukera Jitoe tu kwenye hiyo Taasisi hamia nyingine maana zipo taasisi za dini nyingi kama vyama vya siasa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akamatwa na TAKUKURU. Ni kwa tuhuma za Rushwa

    Mh kweli kinawatengeneza na kuwaandaa kisha hao wanahamia kwingine na ufisadi wao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Ndg ukweli haya mambo ni magum saana akili zetu binaadam tim flani huwa kama wanyama hivo lolote linaweza toka Hebu fikiri mzazi anawezaje kulawiti mtoto wake wa kike tena kwa kuwachanganya iwe jambo kama hili Simaani kama kweli babu seya alifanya ila tu kwa akili za wajinga wapo watu hufanya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania GSM Kuhamishia Malori yake Zambia hii inaashiria nini?

    Yapo makubaliano yenye masharti kwamba gari zako zisajili kwao. Hata super doll waliwahi sajili gari zao no za Kenya miaka nyuma
  7. B

    JamiiForums Tanzania GSM Kuhamishia Malori yake Zambia hii inaashiria nini?

    Wamapata tenda huko
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania

    Baadae tutasikia hata madai yake ya matibabu apeleke serikali ya kenya kwanza ndo wayalete huku tz kabla ya kumpa hiyo haki yake
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kwa haya yaliyotokea uchaguzi mdogo wa Udiwani ni maana yake?

    Vipi marafiki zake wakumchangia hawaaliki tena au!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Nyalandu kuhudhuria Kamati Kuu ya CHADEMA kinamaanisha ameshazawadiwa ujumbe wa KK?

    Huenda Kaingia kama msikilizaji tu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kubenea: Kweli kwa ulaji kama huu ni rahisi mtu kuachia ubunge? Yaani kirahisi rahisi tu?

    Wewe kubenea ulimsakama lowasa kwa ufisadi na maneno mengi na kutaka kudhurika kwa tindikali Leo kweli umshafishe kirahisirahisi hivi kweli itaingia akilini!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kununua wabunge na Madiwani: CCM inatafuta nini tena wakati wana majority Bungeni?

    Mimi nataabika na lugha ya kibiashara sijui kipi huanza katika viwili Kuuza au kununua Huwezi kuuza kama hujanunua Na huwezi nunua kama hujauza.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) akanusha kujivua uanachama wa CHADEMA

    Hapo ndo kubenea utamjua kanjanja kweli nguvu gani aliokuanayo kumsogelea lowasa kwa wakati huo Siasa za kanjanja taabu sana Madhara ya Tindikali haya
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Serikali wameamua kuanza kumtembelea Tundu Lissu?

    Taraatiibu tu mwisho kitaeleweka ukiona watu wamekasirikia jambo bila kujua wewe usiwakasirikie tulia hasira zipungue zikisha pungua anza kuonyesha hisia zako Tundu lisu sasa utafumbuliwa macho kuchuja pumba na mchele. Mungu akujalie upeno
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Meya wa Ubungo, Mradi wa Manunuzi Unamhusisha Mtu Mzito.

    Myika kwa bubu hawezi kutamka yeye mwenyewe!
Back
Top Bottom