Recent content by Bazdez

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

    Mkuu hakuna ushahid sana tukuamini labda ungetuonesha hiyo camera kidogo japo pia haiwez kutufanya tukuamini but cha msingi Mungu yupo na anao uweza kuliko vitu vyote japo wanadam tunajivunia technology yw c chochote
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    naombeni likes na mm cjawahi kufkisha likes 500
  3. B

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    hahahaa! according to mtoa post unazo nguvu ukijiamin na kujua kuzitumia just apply ili uone mtoa post was posted nothing
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    mtoto wa nyoka ni simba au ??
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    ;);););) pointless yaani zero[0] tu apo hakuna lolote n pumba tu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    paul kafundisha hilo?/
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    :D:D:D:D:Do_O exactry mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je kanisa katoliki Congo DRC litafaulu kumng'oa madarakani Joseph Kabila?

    nmeku soma mkuu lkn sidhan km n halali kwa taasisi ka hiyo ya dini kussaport mambo hayo,,kumbuka hadi leo knsa la roma linalaumiwa sana nchin rwanda kusababisha mauaji ya GENNOSADE ya mwaka 1994 ....so din inakosea sana ingetumia demokrasia na maombi kwa sana nnge ielewa, s maandamano
  9. B

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    kaka mm mwenyewe n mhubiri na YESU kanifanyia mengi sasa mm binafsi ikiwa n pamoja na kuwaumbua wachawi na wao kunifuata na kunilaum nawahalibia mambo yao..so mambo haya sijaona kwa wachungaj bali n mm mwenyewe nikitumia jina la YESU tu bila kingine
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je kanisa katoliki Congo DRC litafaulu kumng'oa madarakani Joseph Kabila?

    hujajibu swali langu mkuu, soma vzuri
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    waisla,wakristo wanaamini hivyo na ipo imeandikwa sa nakushangaa unabishana na andiko! lkn nmekuambiwa ukimwamini kristo hauko chini ya laana, au hujui kuwa waafrika ndo kizazi cha mwana wa nuhu aliyemchungulia uchi wake?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    naona hutaki kuelewa, kwani hujui maana ya kuitwa mtume au mtumwa? hata ww ukikubali kutumwa na YESU utakua mtume...nmeshakuambia hoja ya kuwa mtume haina mashiko uelewe sasa, YESU mwenyew alisema msipo muamini basi aminini kazi zake anazozifanya,, so sio lazima uamini paulo ni mtume cha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    SABABU YA WAAFRIKA IPO N WAKAT WA NUHU ALIVYOLEWA MWANAE ALIYEONA UCHI WAKE NDO BABA WA WAAFRIKA MAKE NDO ALIWAZAA KINA MISRI,PUTI N.K,,, LAANA HIYO ALOMPA MWANAE NDO INATUTAFUNA WAAFRIKA LKN UKIMWAMINI YESU ATAIONDOA
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wachoma kiwanda Chao wenyewe wakipinga majeshi ya Israel!

    MKUU NAOMBA NIKUKOSOE KIDOGO KWAMBA KUSOMA DINI SI KUIJUA DINI!! MAFARISAYO WALIKUA WASOMI SANA NA WALIYAJUA MAANDIKO VZUR LKN WAKAMKATAA KRISTO NA HAWAKUMWAMINI ILI HALI ALIKUWA AMETABILIWA NA WALIMSOMA NA PENGINE KUFUNDISHA HABAR ZAKE ITAVYOKUWA LKN WONDERFULLY MWISHO WA SIKU WAKAMPINGA NA...
Back
Top Bottom