Recent content by bayeye1

  1. B

    Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

    Yah! Hizi ndiyo tofali za interlock. Hutumii cement kabisa kwenye kuunganisha matofali, na hata nje wakati wa finishing unafanya pointing tu na kupaka brick varnish( hapa napo una-save kiasi kikubwa cha cement ya kupiga plasta nnje kama ungejenga kwa sand-cement block).
  2. B

    Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

    Hizi tofali za matundu ni tofali bora na za gharama nafuu sana( saving ni zaidi ya 35%). Ni tofali za kisasa, high quality finishing kwa gharama nafuu( affordable). Tofali hizi zinajengwa bila kutumia cement, na hivyo saving ni kubwa sana. Angalia mabweni hayo na hiyo nyumba ya mwalimu...
  3. B

    Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

    Kuhusu hayo matofali ya matundu( SOIL CEMENT INTERLOCKING BRIKC) zenyewe zinapatikana mwenge ofisi za NATIONAL HOUSING AND BUILDING RESEARCH AGENCY? ukitokea mwenge kama unaenda ubungo, round about ya kwanza tu inayoelekea Tra upande wa kulia( kati ya oil com na kambi ya jeshi)
  4. B

    Viongozi wa dini watoa tamko la amani

    tamko limetimia na limejaa busara nyingi sana, na naliona halina chembe ya kukurupuka
Back
Top Bottom