Recent content by bayeye

  1. B

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    hoja si cuf hapa. ni uhakika kuwa alikuwa usa kwa kazi tajwa. nenda ka-google huwezi kajifunze mambo yako wazi mtandaoni mpaka mahojiano aliyofanya usa
  2. B

    Je, Kikwete ni mdini?

    ume heat, lazima kuwe na kelele nyingi tu. kikwete ni msimamia haki na ni jasiri asiyeogopa kelele za mapadri. ukweli ni kuwa ukisimamia ukweli na kuweka uwiano sawa ktk tz waonekana ni mdini hasahasa kama ni muislamu.
  3. B

    GE2010 ZITTO: CHADEMA isipoangalia itakosa mbunge kigoma 2015

    mapenzi ni kitu kibaya sana.mtu akiamua kutoa fikra na maono yake watu wengine wanamuona msaliti. wanataaka akubali tu kila lisemwalo na mboye na silahA!!!
  4. B

    Waislam waandaa rasimu ya Katiba mpya

    Mwenyezi Mungu amesema kweli katika Qur'an tukufu"hawatakuwa radhi nanyi hao mayahudi na wakristo mpaka pale watapoona mmekubali kufuata mila zao" na pia "kila ukelele unaopigwa wanadhani kuwa walengwa ni wao". wasiwasi wenu ni wa nini, haya ni mawazo yetu waislamu nanyi pia mna mawazo...
Back
Top Bottom