Recent content by Bawej

  1. B

    Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Mkuu mbona picha inajieleza huyo shabiki kiti alichokishika rangi yake sio mojawapo ya viti ambaye vinavyopatikana kwenye hilo jukwaa inaonekana mashabiki wa timu pinzani ndio waliokirusha huyo shabiki wa simba inaonekana akikirusha kilipotoka kwa mtindo wa jazba
  2. B

    Idara ya Uhamiaji yasema haijazuia kutoa Visa kwa Wageni

    Mwezi mmoja uliopita nilimuombea rafiki yangu visa anaeishi Nigeria si mara yakwanza kumuombea nahuwa anakuja ila this time ilishindikana huwa naomba kupitia online nimelipia gharama za visa majibu yamekuja reject nikaomba mara yapili malipo ya application wanachukua lakini majibu yanakuja...
  3. B

    Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Bila kupepesa macho kampuni ya tigo upande wa tigo pesa wanahuduma dhaifu ni rahisi kubadilisha namba ya siri kama vile kumtoa inzi aliyeifia kwenye povu la pombe
  4. B

    Natafuta mke bikra

    Kama upo serious nicheck pm nikufanyie connection kuna pisi 2 pisi ya Kigogo na pisi ya Kirangi zote zinasoma chuo mmoja yuko Mbeya mwingine yupo Dar, Anayesoma Mbeya yupo tayari kuolewa ila inayosoma Dar bado anajiona mtoto hana wazo lakuolewa
  5. B

    Madaktari wa JF nisaidieni sipati choo

    Tumia juice ya ukwaju asubuhi kikombe kimoja na jioni kunywa kikombe kimoja cha chai utamaliza tatizo la kwenda choo
Back
Top Bottom