Muungano wa mkataba ni bora zaidi.
Kila nchi iwe na Soveregn yake kisha tukutane kwenye Mkataba wa baadhi ya mambo na ujirani mwema.
Kam tulivyo sisi na Kenya.
Muungano wetu umekomaa sana , lakini manunguniko ni mengisana.
Huenda tukiukosa kwa baadae tuutajifunza kuunda ulio bora zaidi .
Watanzania wacheni chuki binafsi.
Hili taifa lilolelewa na CCM hivi ndivyo lilivyo, ukiwa mubwa watanufaika watu wako wa karibu.
Wacheni Abduli afaidi muhula wa utawala wa Mama yake.
As Long as havunji sheria zanchi.
Ndugu wana jamiiforum hasa madaktari, mimi ninashida ya kukosa kusikia harufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.
Madaktari wamejaribu kunipa dawa za ku spray pamoja na vidonge vya alegy lakini bado sijapata nafuu yoyote.
Naomba msaada kwenye tuta.
Nipigie I 0773 031227
Mimi sijui urafiki wa Samia na Lisu ulianzia wapi na Uadui wao umekuja kivipi.
Hizi siasa zina mauza uza mingi sana.
Namuoba Antipasi lisu apunguze kutunisha msuli , karibu ataachiwa huru.
Mama anamjali sana, ila nadhani amemuweka ndani kwa Usalma wake. Maana Wauwaji waliompiga risasi enzi za...
Mwaliu Nyerere aliwahi kusema kuwa mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya CCM.
Huenda ikawa Nchimbi kachimba chini kwa chini hadi kuibuka na Ajenda ya Wapinzani na wanaharakati akiwa ni kiongozi mwandamizi katika Serikali na Kigogo cha CCM alliyekwisha shilia nafasi Kadhaa nyeti ikiwemo Katibu...
Kwani wewe umesha olewa/Owa?
Sasa unajuwa lini utakufa?
kama hutaki kuzikwa kijijini m acha wasia ili uzikwe mjini , upanuzu wa barara ukija kaburi inavunjwa na mabaki kulipwa fidia na kupelekwa eneo jengine lisilorasmi au yachimwe moto.
Nyi nyi watu msiojuwa matumizi sahihi ya misamiati ya kiswahili.
Biashara ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi.
haijalishi ufahamu wake wa soko kuwa zuri au baya,kinachotazamwa ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi yasiyo na shinikizo.
Biashara zenu hizo za Stakabadhi Ghalani ni aina ya...
Mimi ni Muislamu
Lakini hapa Hoja yako ina ukweli fulani,"kwa nini waislamu wanashirikiana na mayahudi na wakiristo dhidi yawaislamuwenzao"?
Jibu ni rahisi tuu
Shetani hawezi kufanya kazi bila ya kutumia Chombo.
Vyombo vya shetani ni:-
-Kafiri
-Yahudi
-Mkiristo
na Wanafiki.
Waislamu...
KAMA MBINGUNI KUSINGELIKUWA NA STAREHE ZA ZIADA , MAISHA YA DUNIANI YASINGELIKUWA NA MAANA YOYOTE
KWA KUJINYIMA KUVUMILIA MAUDHI YA MAJITU KAMA NETANYAU NA TRUMP.
TUNGELIKWISHA MALIZANA HAPA HAPA DUNIANI LAKINI MAMBO SIVYO YALIVYO. BILA YA HIVYO
Tungeliishi kama wanyama na kukamata mabinti a...
Ama Laana Hii irudie kwako mleta maneno haya.
Hatuwalaanigi Viongozi wa Nchi.
Kwani ikiwasibu Laana ,na sisi wananchi hatuna salama.
Mungu awarehemu na awape Huruma na Upendo kwa raia zao.
Amin
na Hii laana Akugeuzie mwenyewe.
Amin
hapa hakuna Upuuzi huo.
Watanzania wanajitambua, Hawapendi kuleta rabsha zisizo na Faida kwa RAIA.
Kwani Mageuzi ya Vyama Vingi yaleletwa na Maandamano?
Ni akili tuu na ukima wa kimkakati.
Walijuwa Kuwa Watanzania wameshachoka na chama kimoja.
na kwa sasa wakijua kuwa mumechoka na CCM...
WEWE MGONJWA SANA.
MUONGO SANA,
Kwa maandamano wengi tuu wameuwawa na kuumizwa, labda ulikuwa ujazaliwa.
Kuna Jan 27 kKule pemeba miaka ileya mkapa.
hata Mwaka Juzi wakati Mwinyi anagombea uraisi, Zanzibar Kuna mauwaji makubwa yalifanyika baaada ya Maandamano kudhibitiwa na wengi kujeruhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.