Pipo, msaada wajameni! juzi nikiwa nasikiliza ka-radio kangu, mara nikasikia wimbo fulani amazing na wataratibu, Rnb fulani ya kibongo. siyo mzuri wa kukariri mashairi lakini nakumbuka kiitikio chake,
...Ni wewe tu x2..! akipokezana na mwanadada kwenye kuimba chorus
Nimeusaka kwenye sources...