Recent content by Batholomeo batho

  1. B

    Njia za kutatua matatizo mbalimbali katika nchi za Afrika

    Habari wanajamii, Huu ni ukurasa ambao utakua ni maalumu kwaajili ya kutoa taarifa na maarifa kuhusiana na matatizo yanayozikabili nchi nyingi za Afrika na njia mbalimbali ambazo zinaweza kupunguza au kuondoa kabisa changamoto hizo. Hivyo basi natumai kwamba nitapata ushirikiano katika kupitia...
  2. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Hongera. Nawezaje nakupigia kura?
  3. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Even nchi zilizoendelea na countries with tiger economies wana tatizo la ajira lakini 'wanaviside' ambavyo vinaweza kuwapatia chochote kitu. Kuna experience nilipata kwenye baadhi ya vijiji vya Dodoma wao baada ya mavuna ndo basi wanakua unemployed na kipindi hicho kuna vyanzo mbalimbali vya...
  4. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    So kumbe tatizo linakuja kwetu sisi watafuta ajira ndo tumeshindwa kutatua changamoto ya kua na skills zinazoweza kutufanya tuwe qualified kupata ajira sehemu mbalimbali
  5. B

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    Nakubalina na wewe mletaji ndipo. Ila kutokana na maelezo ya mwandishi wa zero to one na ambaye ni mwanzilishi wa PayPal akisema kuna kitu kinaitwa 0 to 1 na 1 to n. Ambayo 0 to 1 ni ugunduzi wa vitu vipya na 1 to n ni kuiga au kuboresha ambao pia ni ujasiriamali
  6. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Hili ni tatizo la quality ya population tuliyonayo. Lakini kipindi hicho kuna ambao wapo na willing ya kufanya kazi lakini hawana kazi hao ndipo target ilipo
  7. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Pamoja kaka. Hii ni yetu sote
  8. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Nimeongeza nyama kidogo mkuu pitia uzi
  9. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Hii pia ni njia nzuri lakini sisi kwakua ni waathirika wa kwanza tujisaidie wenyewe kwanza kabla ya serikali kwasababu atakayepitisha swala la watu kustaafu mapema ni watu na haohao wanahitaji kukaa katika hizo nafasi kwa muda mrefu
  10. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Ndiyo zipo mkuu. Tujiulize ni watu wangapi wana taarifa na hizo channels?
  11. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Siku chache zilizopita kuna dada alikua anaulizia daktari binafsi ambaye anaweza kwenda hadi kwake kwa ajili ya consultation na huduma ya vipimo vya kawaida. Na sio kwamba hamna madaktari ambao wapo mtaani hawana kazi ila wapo tena wakutosha. Maana yangu ni kwamba tunaweza kupata kiunganishi...
  12. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone). Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
Back
Top Bottom