huyu mramba siyo yule yule mramba jamani? kwani hakuna watu wengine ambao hata majina ya wazazi wao sio makubwa wanaoweza hizi kazi nao wakapewa nafasi jamani?:bored:
Najaribu kufikiria huu mnyukano hatima yake ni nini kwa chadema tusaidiane ndugu zangu. Watu wengine wamesimama na kutoa malalamiko na vitisho kwa viongozi wa juu wa chadema ya kwamba wasifike baadhi ya mikoa na kadhalika. Je, huu ndo mwisho wa chama hiki. Ni kweli hakuna/kuna kosa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.