Recent content by BATENDA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    wakuu habari za leo.kwa m wenye kuwa fahamu bata bukini naomba ushauri.nina bata bukini mwaka wa pili sasa hawajawah kutaga sijui tatizo ni nini.upande wa lishe wana kula vizuri.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wa taalamu wa ufugaji

    Habarini wakuu.Mimi ni mfanyakazi ila napenda sana kujituma mwenyewe.katika maandalizi ya kujituma nimeanza na ufugaji wa kuku wa kienyeji.kwa kuanza nimeanza na vifaranga ishirini sasa vina miezi miwili,ila mbona ukuaji wao si wa haraka kama nilivyo tarajia.wenye ujuzi na ufugaji wa kuku wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa hii ndoto yangu inayojirudia rudia

    Pole sana kijana,nisikuchoshe kwa maelezo marefu ila kuna dalili kubwa kuwa una sumbuliwa na shetani.maana ndoto zipo pande tatu.kuna ndoto za mungu kuna ndoto za kishetani na ndoto za mawazo binafsi.ndoto za mungu huwa zina leta ujumbe fulani maalum,ndoto binafsi huwa zina leta ujumbe kulingana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nina Msingi Wa Laki Tano Nataka Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu.

    Kwa Mda Mrefu Nilikua Na Ndoto Ya Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu Kutoka Mafya Kuja Dar.Zoezi Langu Lilishindikana Sababu Ya Mtaji,kwa Sasa Nimesaidiwa Tsh Laki Tano Ili Niweze Kufanya Biasha.Bado Pesa Hzo Nataka Kuzielekeza Ktk Biashara Hyo.Naomba Ushauri Kwa Wataalamu Juu Ya Biashara Hii.
Back
Top Bottom