Mkuu nilikupa ofa uje uthibitishe kama ni fake nakupa buree ila sijakuona. Na nakupa njia za kutambua fake na genuine iPhone
https://visihow.com/Determine_Fake_vs._Real_Iphone
Mkuu pitia uzi huu 👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.jamiiforums.com/threads/iphone-6s-plus-gb-64-480000.1595287/
Kuna wateja walihitaji iPhone 6s Plus kwa 250k hadi 400k nikawakatalia, wacheki PM uwauzie hiyo iPhone 8 Plus ambayo iko juu zaidi ya 6s Plus
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.