Recent content by Bastille

  1. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Inabid ufatilie chuo kwa undani zaid, kama kipo recognized..if am not mistaken kuna kitu wanaita H+ jaribu kuangalia km kipo ranked H+ then ni safe kuchagua
  2. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Unatakiwa uwe na passport maana ukiwa unafanya application lazma uweke front page ya passport yako
  3. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Typing error Boss, ni ndefu i had to be fast...so kukiwa na mistake ndogo ndogo not bad as long as ujumbe umefika
  4. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Thanks and Be blessed bro....Nilifika Embassy kuuliza hii issue wakanambia kama una sponsor hamna shida you just need to prove na wao wajiridhishe. Issue ya blocked account naifahamu but hawakunigusia, and i know two guys ambao wamepita bila kuulizwa hii blocked account.
  5. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Ingia daad.de utachagua city unayotaka..ila kwa frankfurt najua kuna Goethe & Uni frankfurt and so on....vipo vingi
  6. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Kwa information nilizonazo, kazi zipo depends na umesoma nn!? Pia unaweza kupata kazi ukiwa unaendelea na masomo. Miji mikubwa kuna alot of opportunities utachagua ww tu
  7. Bastille

    Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

    Hopefully wote tupo njema tukiendelea kupambana na hali zetu. Kutokana na hali ya tz kubana sana kumekua na harakati mbali mbali za raia kujaribu kupeperuka na kusaka maisha sehemu tofauti tofauti (Nje ya nchi). Risk takers, Wazee wa kujilipua na watafutaji njooni tukutane hapa tupeane uzoefu...
Back
Top Bottom