Ss yooote 9 mie 10 nataka kujua hizo hotel ww umejuaje taarifa zake, yaani umezipataje?
Kwa mfano tuseme, mgahawa au RESTAURANT fulani najua wana nyama choma, roast, makange, Chakula kizuri maana nillishaaenda kula hapo hivyo vitu so nakuwa na uzoefu na sehemu falani. Ila ww hizo hotel tuambie...