Recent content by bashemere

  1. B

    mkutano wa chadema london

    Mkutano Wa Chadema London M4C LONDON CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA...
  2. B

    MPASUKO mkubwa CCM, Juhudi za Kimataifa zinahitajika kukinusuru!

    Mbona mnatokwa na mapovu ccm inakufa tu
  3. B

    MPASUKO mkubwa CCM, Juhudi za Kimataifa zinahitajika kukinusuru!

    chaguo la kikwete ni membe,wakina sita na mwakyembe wanakundi lao,lowasa ana nguvu sababu ya busara zake pesa zake ni mwanzilishi wa wanamtandao hivi wakuu wa wilaya wapya ancontact nao wote kutumia intelijensia dhaifu na bwana rostam anatumia pesa za saudia kuwamaliza akina membe na sita patamu...
  4. B

    Katibu mkuu ccm akata tamaa,aamua kufurahia pensheni ya chama

    Kama vichaa wakijijua hospiyali za mirembe zitakosa wahudumu
  5. B

    Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

    tatizo la ccm ni kuwatumia watu kama lusinde mwigulu komba huwezi kuwatofautisha aliyeenda shule na yupi ni mganga wa kienyeji kazi ipo
  6. B

    Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

    yule myama anayebweka bweka anaitwaje vile?
  7. B

    Sitta vs, Lowassa

    ​i love that kwi kwi kwi ni jamaa ya bagamoyo bana
  8. B

    Katibu mkuu ccm akata tamaa,aamua kufurahia pensheni ya chama

    "rais ajaye kutokea ccm atatoka nyanda za juu kusini"mkama
  9. B

    CHADEMA inaendeshwa "kimagumashi"...

    ​mbowe chadema ataicha akiondoka lakini ccm inaondoka na kikwete
  10. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    kilichopo sasa ni kama kuendesha lori la fiat lilikuwa linaendeshwa na msomari (ccm)na ushindane na scania 124 (chadema)watu wataona scania inakupita na wewe unapiga kelele ooh litazimika mbele langu ni la zamani limezoea milima utakuta scania imemaliza mizigo yote barabarani igeni na mtafute...
  11. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    Ninapenda siasa si mwanasiasa lakini ungejipanga vizuri ningekusaidia saana na ungeweza kiasi kikubwa kubadili mfumo wa chama chenu kwa kujisimamia na kuto attack upinzani attack kwanza wapinzani ndani ya CCM vinginevyo vita yako itakuwa ngumu saan trust me mfumo wenu ni wa kijasusi ndani ya ccm...
  12. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    Muwaeleze wazee kina msekwa mawazo yao muyaheshimu lakini wakae pembeni wawachie chama ila tu mtawaomba ushauri mkikwama vinginevyo hakuna mabadiliko ya kupaka rangi gari wakati injini ni ya zamani kama kukwama itakwama tu rangi haijarishi
  13. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    jaribu kutokupangiwa cha kusema wengine wanakulengesha mwisho wa siku wananchi wanaelewa pumba na mchele hata mkiwadanganya vipi maana serikali ya ccm kutumia mahakama kuwahujumu walimu na madaktari ni anguko kubwa kwa ccm kwenye vikao vyenu mlione hilo.
  14. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    Mambo ya ukanda usiyatumie tena maana kama ccm bado mnahitaji hata kura 20 za watu wa kaskazini
  15. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    unapoenda kwenye mikutano yako ya kichama badili haya maneno "chadema ni chama cha kigadi maana hizo ni siasa za kitoto ebu fungua macho tazama morogoro mji ulivyo na hamu ya ujio wa chadema ukiwaita magaidi unamkosea kikwete walikutana na wakakubaliana kuhusu kuandika katiba upya hapa utamwita...
Back
Top Bottom