Katibu mkuu ccm akata tamaa,aamua kufurahia pensheni ya chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu mkuu ccm akata tamaa,aamua kufurahia pensheni ya chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Aug 5, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wakuu,
  Nilikuwa Musoma hivi karibuni kwenye Msiba wa Mzee Fabian Samo aliyekuwa mwenyekiti wa TFF Mkoa wa Mara.Alikuwa mkwe wangu.Katika msiba huo nilibahatika kukutana na ndugu wa karibu sana na Mzee Mukama,Katibu Mkuu wa CCM.
  Nilimuuliza ndugu huyo kwa nini Katibu Mkuu huyo ameshindwa kufanya maboresho katika chama,pamoja na kuwa na historia ya msimamo usiotetereka tangu alipokuwa Mkuu wa Chuo cha Kivukoni wakati huo (sasa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere),pia kuwa Afisa Mwandamizi TISS.Nilijibiwa kuwa Mukama alijitahidi sana kushauri na kuandaa mikakati ya kukifufua chama,lakini amekutana na vikwazo vigumu sana,hasa kutoka kwa Mwenyekiti wake ambaye amekuwa akisiliza kwa makini ushauri na kuonekana anakubaliana nao lakini amekuwa mzito mno kuugeuza katika matendo.
  Kwa mfano, katika moja ya vikao vya NEC iliamuriwa kuwa wanachama wote,wakiwemo viongozi wa chama na serikali,wanaotuhumiwa kwa ufisadi wajadiliwe ili wakuchuliwe hatua za kinidhamu katika vikao mbalimbali vya kamati za maaadili za chama kwa ngazi mbalimbali husika,kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa.Na mpango kazi pamoja na bajeti viliandaliwa.Utekelezaji wake umeshindikana hadi sasa kwa sababu ya uzito wa mwenyekiti.
  Baada ya Mzee Mkama kujiridhisha kwamba hakuna la maana analoweza kufanya, akaamua kukaa kimya na "kula maisha".
  Nilitegemea Mhe.Nape angekuwa mkweli na kutolea majibu juu ya haya badala ya kusema kuwa watawawajibisha mafisadi hao kwa kuwavizia wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama.
   
 2. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 3. b

  bashemere Senior Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "rais ajaye kutokea ccm atatoka nyanda za juu kusini"mkama
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Amejitambulisha kuwa ni mkwe wa marehemu. Kama mmoja wa mliokula nao ameoa kwa marehemu basi ndiye huyo. Pole mkuu Maseto kwa kufiwa na baba mkwe wako.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Uharo mtakatifu
   
 6. b

  bashemere Senior Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama vichaa wakijijua hospiyali za mirembe zitakosa wahudumu
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea Mhe.Nape angekuwa mkweli na kutolea majibu juu ya haya badala ya kusema kuwa watawawajibisha mafisadi hao kwa kuwavizia wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama.
  Mura na nyie michosho hasa, kwani wewe ni msemaji wa hicho Chama? waachie wenyewe watapatana ww chukua jembe ukalime, hata Mukama akichoka km Makamba atakaa pembeni kwani kazi yao sio kupika ugali eti wakichelewa mpaka 2015 uji utageuka jiwe badala ya ugali. Mkutano Mkuu ni mwezi ujao wa 10/2012 kila kitu kitaenda
   
 8. M

  Maseto JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  siku hizi hicho kimekufa madaraka yote yapo kwa katibu muunezi na mwenyekiti chama kama chama hakina maamuzi mpaka pawe na shinikizo la cdm..
  hata mikutano ya hadhara hawajui wafanye wapi na waongee nini wanasubiri cdm wakienda morogoro na wao nyuma ccm wamekuwa kama wapinzani wamesahau kaka wao ndio wenye majukumu ya kusongesha nchi mbele utashangaa bado wanaendelea kutoa ahadi badala ya kusema kwa wananchi nini wamefanya
  tumechoshwa na ahadi za miaka 50
   
 10. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Kuna habari kuwa Mukama ATAACHISHWA kazi siku za karibuni. Huenda mwaka mpya 2013 utamkuta MSTAAFU!
   
 11. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sentensi tata'rais makini lazima atoke ccm-JKN'.TAFAKARI
   
Loading...