Recent content by baruti170

  1. baruti170

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Aquos sense 5G laini inasoma emergency call only

    Nunua tu simu nyingine
  2. baruti170

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna simu zinaitwa Aquous je zina ubora?

    hiyo ukisogea nje ya mji network kisanga 😂😂😂
  3. baruti170

    JamiiForums Tanzania Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

    Umeenda hospital kweli ? .au maabara au duka la dawa. maana hiyo hb yako lazima tukufungie wodini
  4. baruti170

    JamiiForums Tanzania Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

    Mtaani
  5. baruti170

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo enzi za magu
  6. baruti170

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Kama ikivuka kesho ijumaa si ndio inakua ntolee hiyo
  7. baruti170

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    sio walimu tu . tatizo watu wanafeki maisha watu hela hamnaa mtaani
  8. baruti170

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Kama hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali kabisaa waniache
  9. baruti170

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Hamna kituu bado kelele za wanasiasa unaweza ukapigana
  10. baruti170

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Muache huyo wa biashara ndogo ndogo anaufala mwingi eti anatuonea huruma qmmae kweli
  11. baruti170

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Biashara ndogo ndogo ehh
  12. baruti170

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali asee wasinitanie
  13. baruti170

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    ttz jf kila mtu bilionea
  14. baruti170

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    ipo siku tutakuja kupigana humu ndani asee
Back
Top Bottom