Recent content by bartenderznz

  1. bartenderznz

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Unajuaje kama ni feki? Ufeki wake ni nn hasa? Test or what ?....Kvat ni spirit ambayo hutengenezwa Kwa njia ya distillation process ( kutengenisha baina ya maji na mvuke) ya nafaka na Kwa vile haina mature baada ya kutengenezwa haiwezi kuwa na same test and smile all the time Utafauti unatokea...
  2. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

    Maybe yes
  3. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

    Je Chelsea wanao uwezo wa kuwashambulia Man City na kuwa mabingwa wapya wa UEFA Champions League Kwa Mara nyingine baada ile ya De Matteo? Sitakki kuwa mtabiri Kwa sababu Manchester United wamenifuza kitu katika Europer. Kila la kheri Manchester City...Kila la kheri Chelsea.
  4. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    Ngoja tumtafute Dauda
  5. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    Hongera yako mkuuu
  6. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    May be yes
  7. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    Wacha tusubiri tuone
  8. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    [emoji1]
  9. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Villarreal yanyakua Kombe la Ligi ya EUROPA. Yaifunga Man. Utd kwa penati 11-10

    Klabu ya Villarreal imechukua Ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kuifunga Klabu ya Manchester United kwa penati 11-10 Timu hizo zilifungana goli 1-1 katika dakika 120 hatua iliyofanya mchezo kuamuliwa kwa mikwaju ya penati. Villarreal ndio ilikuwa ya kwanza kupata goli katika dakika ya 29...
  10. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bai Bai Simba

    Kweli kabisa
  11. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

    Mdogo mdogo ndo mwendo
  12. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

    Akili zinatafautiana mkuu
  14. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

    "tuwache wivu" hakuna mtu kawaonewa wivu,they play hard, which is very good ninachojaribu kusema ni kwamba tuliaminishwa 99% they are going to win mkuu
  15. bartenderznz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatoki mtu kwa Mkapa, wametoka wao

    Fact kabisa
Back
Top Bottom