kasema hela za sherehe za uhuru zitaenda kujenga miundombinu iliyoharibiwa zikiwemo zahanati ili watanzania watibiwe..... mlimsikia ??
hivi ni zahanati gani iliharibiwa na waandamanaji
ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA.
Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi.
Yeye anasema akasukuma...
Hakuna waandishi bongo. Wote ma idiot.
Eti kwenye press conference ya leo na Mwigulu, waandishi wameweka mwenzao (Mwenyekiti) ndio anawadhibiti jinsi ya kuuliza.... hilo lishajibiwa.... hilo hapo halijakaa sawa.... hilo hapo sijalielewa.... HUJALIELEWA KWANI UMEULIZWA WEWE BALILE ...
Wamechafuka na bad press ya mauaji, duniani kote wananuka damu. Hawawezi ku control foreign press. Wanajaribu wa ndani.
Msigwa anatangaza sasa waandishi watapewa mfuko wa mikopo kama wasanii.
Mliona wasanii ndio fani ya maana saaaana, ili kuitumia itangaze CCM.
Very selfish party.
Sasa...
Ya Mzee Kibao ilisemaje?
Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi?
Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki?
Kwa nn huwa hawadai ripoti zao zifanyiwe kazi kama ambavyo Jaji Warioba anaishi akihubiri rasimu ya Katiba...
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
Hawa watu wa tume hawana sifa
Kwa sababu hawa watu hawana heshma ya kuwa ma statesmen
Hatujawahi kuwasikia hata siku moja, hata mmoja, wanatamka kitu cha ki statesman cha kuikanya serikali, kushauri taifa, kutetea taifa, kutetea wananchi
Yani, zaidi za kazi zao za ajira, hawajawahi kufanya...
Bashasha na tabasamu siku alipoihondomola CCM kwa kulazimisha jina la ampendae yeye lipite bila mchakato...
Kikaja kikaharibika....
Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
Wizara inakunasha kuwa picha hii ni ya upotoshaji
Kwa maneno mengine unakiri kwamba ni ya uhalisia
Aliyetumwa kutoa statement hajui Kiswahili, na kichwani hamnazo. Sijui ni karani wa darasa la saba ??
How to remove EXIF data
KWENYE WINDOWS
Right-click the image and select Properties
then click the Details tab.
Click Remove Properties and Personal Information
KWENYE SIMU
/ Nenda Gallery,
/ Chagua picha
/ Bonyeza SHARE
/ Utaona text button, ki button kinasema OPTION
/ Bonyeza OPTION...
Tunapinga Azimio Na. 2 la kuundwa kwa Tume ya Upatanishi na Usuluhishi.
SABABU: Linapingana na Azimio Na. 4 linalotaka wauaji wakamatwe wafikishwe mahakamani.
MANTIKI: Unapatana vipi na miuaji ambayo unasema tuyapeleke mahakamani ?????????
Duniani kote hayo ma truth and reconciliation...
Wanaharakati wameajiriwa na Open Society, wanalipwa wafanye uchochezi.
Na hiyo kampuni ya Open Society inapataje faida pakiwa na uchochezi ??
Kwa hoja dhaifu na za ki zinjanthropus kama hizo, mnawezaje kushawishi umma ???????
Ndo maana Maria Sarungi na Mange Kimbambi wanawapeleka puta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.