Recent content by Barinasyo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vyuo vya mifugo

    ngazi ya diploma rafiki
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vyuo vya mifugo

    Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

    Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hello

    Asante ninashukuru kwa ukaribisho wenu mko poa nyotee
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hello

    Habari zenu wote member wa jf
Back
Top Bottom