Tatizo la watanzania ni njaa kama anavyosema hashim rungwe. Ninajiuliza kila siku hiki chama cha ACT WAZALENDO kipo mrengo upi. Maana upinzani hakipo kabisa. Leo unampongeza magufuli wakati amenyamazisha uhuru wa habari,mikutano na bunge live! Hakuna upinzani hapa tz
Inapaswa sisi watanzania kujiuliza wote kwa pamoja kuwa daudi albert bashite anampa nini dr? Sio kawaida kwakweli. Kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui wanapeana
Serikali yetu inakwenda kuwatoa kafara raia wake ambao ni madktari huko kenya. Inawataka wakainhilie mgogoro uliopo kati ya serikali ya kenya na madaktari wake. Msindeeeeeeeee. Mwafaaaaaaaaaaa
Anataka kanisa lianze kuhubiri siasa badala ya neno la mungu? Awache hayo mawazo yake mungu hajaribiwi. Kanisa sio biashara. Siasa ina viwanja vyake,sio kanisani
Kujiajiri ni swala muhimu sana kwa sasa. Ni kweli kuwa katika mafanikio mara nyingi sio lazima ukuwe na elimu kuuubwa. Ila ukiwa na elimu kubwa inakupa wewe courage ya ku take risk wakati utakapojiajiri.
Kupata maarifa ni kitu muhimu sana,ila ukishapata maarifa,lazima lazima kujiajiri ama...
Makonda akwende ku update list yake kwa kuongeza jina la Masogange. Wanasema wahenga kuwa lisemwalo lipo. Akamhoji na huyo binti maana amekuwa akishutumiwa na watu wengi sana. Anakuwa mkali kama mbogo maslahi yake yakiguswa. Pia anatakiwa aje aseme amepata wapi utajiri alionao. Shutuma za mbunge...
1kkkkkakakakwakeli upinzani wakaze moyo. Maana hawa wanaofanya kazi za mahakama wanatoa hukumu kwamakusudi ili kuwaweka busy watu kama akina tundu lisu kushughulikia kesi nankukata rufaa kuliko kujenga chama na kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mdogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.