Recent content by Barbra

  1. B

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Punguza vyakula vinaandaliwa kwa mafuta mengi Tumia zaidi vyakula vyenye nyuzinyuzi(visivokobolewa) Mazoezi kila siku
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaongezeka uzito kwa kasi sana

    Kama anatumia maziwa ya mama pekee( Exclusive Breastfeeding) sio tatizo ila kama mnampa na vitu vingine kama maziwa mbadala n.k muache kwanza atimize miezi sita.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    Hayo maumivu kawaida pia uko mwishoni Fanya mazoezi ya kutembea yanasaidia kupunguza maumivu na jitahidi unywe maji si chini ya glass nane kwa siku(2litres)
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Mpake mafuta ya nazi kuzunguka pua yake karibu na matundu inasaidia kulainisha mafua yatachuruzika apate kupumua vizuri yakikauka unampaka tena.Hii itasaidia aweze kunyonya na kadri ananyonya sana ndo tiba nzuri ya mafua kupona. Akibanwa na mafua anashindwa kunyonya so ikishindikana mpeleke...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

    Kuwa na subra ndugu hizo presha zako hata si nzuri kabisa Mbona mtawapata watoto wa kutosha yaan vile mnataka. Sisi toka 2016 tumekuja kupata 2019 November
  6. B

    JamiiForums Tanzania Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

    Azae kwa CS ivo ivo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wala asitoe hiyo mimba anaweza kuendelea kunyonyesha huku ujauzito unaendelea kukua vizuri. Muhimu aanze clinic mapema apewe elimu sahihi aanze kunywa Folic acid na Calcium. Upande wa vyakula abase zaidi kwenye protein food na vegetable.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    Haijatoka yote aende akasafishwe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Pole sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Hajitapishi wala mimba changa inamateso sana kwa kwel mpaka miezi minne anaweza pata nafuu ikifika tena saba shughuli inarudi
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 17/12 F Ke 09/03 k
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    Kaa chini zungumza na mkeo hizo tabia zake anazoonyesha kuna vitu vinamsumbua mpaka anajikuta hajielewi. Heri mkae kwa upendo muyamalize na huyo mkeo unaemfahamu kulko kwenda kuoa mchepuko utajuta maisha.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Na kama pia anaugonjwa wa Kifafa na hakukwambia ukaja jua baadae ndo inaweza kuvunjwa ila kama alikwambia na ukaridhika basi ndoa inaendelea
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ni mbinafsi sana kwenye pesa za familia

    Na ndugu zako pia wengine mnamalalamiko yanayofanana au wewe tu? Kujitafutia kuna raha yake endelea kupambana rizk ipo tu usijiwekee kupenda kusaidiwa saidiwa itakusaidia kutokua mtu wa lawama.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Hakika maamuzi ni yenu wawili.Akaongeza mumeo akikuletea watoto wa nje njoo hapa nna cha kukwambia utamsamehe na mtazeeka pamoja na mtakuja kanisani mmeshikana mikono kama hakuna lilitokea.
Back
Top Bottom