Recent content by Barbosa

  1. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA VIJANA WANAOFANYA TRANSFER ZA VYUO

    majibu ya tranfer ya mkopo vp Vuka Mphefumulo?? kama unayo muongozo wowote ama chchte kuhusiana na taarifa za kuamishwa mkopo naomba utufaamishe tafadhali[emoji106] [emoji817]
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa waliofanya transfer

    vp mkuu majibu ya transfer ya mkopo yamefikia wap? ?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu transfer ya mkopo...

    Habar za muda huu wana JF? Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya transfer katika mwaka wa kwanza, na nashkuru Mungu nlifanikiwa kuona jina langu katika waliofanikiwa kupata mkopo mwaka 2016/2017 ila jina nliliona kwenye chuo nlichokua nimepangwa mwanzo kabla ya transfer, nkaenda kwa loan...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya transfer

    dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya maombi yangu ya Transfer

    apo utaangalia mwenyew unapenda kwenda wap maana utaposajiliwa ndipo patakua panakuhusu uko kwingine ata wakisema nafasi ipo amna tatzo kikubwa umejiregister wap, afu icho chuo kitume jina lako Tcu kabla ya tar18
  6. B

    JamiiForums Tanzania HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    kusoma kazi kufanya pepa kazi kusubur majibu kazi kuapply mkopo kazi kuapply chuo kazi kusubir majibu ya chuo kazi kusubir majibu ya mkopo kazi kila kitu kazi kwa sasa hii namba kila mtu ataisoma kwa aina yake ucpoisoma kwenye elimu bas kweny ajira utaisoma kila mmoja kwa wakat wake anasema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania St John Ada ya kuanzia First Year

    naombeni join intruction ya st john tumeni apa tafadhal nimejitaid nkaikosa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kutofautina kwa ada iliyopo kwenye TCU Guide Book na inayotozwa chuoni imekaaje?

    poa mzaz tutakutana uko mambo yakienda fresh
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kutofautina kwa ada iliyopo kwenye TCU Guide Book na inayotozwa chuoni imekaaje?

    kuna mambo naeka fresh kati ya ijumaa au j3 ntakua naelekea uko unapiga kozi gan
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kutofautina kwa ada iliyopo kwenye TCU Guide Book na inayotozwa chuoni imekaaje?

    Archbishop Mihayo Universty Colledge of Tabora (AMUCTA)[emoji106] [emoji817] [emoji115]
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kutofautina kwa ada iliyopo kwenye TCU Guide Book na inayotozwa chuoni imekaaje?

    Vp inakuaje kwenye university guidebook ada ya chuo iliyoweka itofautiane na ada inayotozwa mahali husika. Mfano AMUCTA kwenye guidebook ya TCU kozi ya BAED ada ni laki950 ila kwenye fees structure yao ada ni 1.2million. Hii imekaaje na hapo 1.2M bado ujaesabia registration fee, examination...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    cjaelewa ata mimi account ipi ya HESLB ya mwanafunz kama ipo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kujuzwa kuhusu SAUT Arusha

    kipo mjini kabsa kimezungukwa na huduma zote muhimu jirani kuna soko la kilombero chini kidogo kuna suprmaket maarufu sana arusha ya nakumat jiran kuna mahakama, kituo cha polisi usalama wa kutosha pia chuo kipo jiran na uwanja wa sheik amri abeid na stand ya mabasi yaendayo mikoani mi naishi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    ili somo mim nilijuvua mapema sana kwanza aliendi wala kueleweka yataka moyo sana player - pleia apo ndo lilinichosha kabsa[emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Back
Top Bottom