Recent content by BARAWA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    Ndio mkuu wahamishe sisi tumekua tukiwaambia siku nyingi HIKI NI CHAMA CHA YESU hakiwezi kushindwa na mwanaadamu haleluyaaaa!!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    "No reseach, no right to speak" Tatizo kubwa la M/kiti Mtikila ni kukurupuka, hajulikani anataka nini na hataki nini, kutokana na tabia hii ndio maana tunaishia kupongeza halafu kura zetu kwa "peopleeeeeeeee?..... power!!! Halafu alalamike eti CHADEMA wanamuibia sera zake, ndio maana hadi hii...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni Tanzania; Basi tumelaaniwa, na aliyetulaani kafa

    Huu ndio ugonjwa mbaya unaotukabili Wtza tunaohusisha kila kitu na Dini! Bible iko na mistari mingi, kwanini tunang'ang'ania huu wa kutukuza ISRAELI tuu? Mimi naamini maamuzi ya mwalimu yaliongozwa na imani yake ya kikristo, inayojali ubinadamu na utu, hasa ukizingatia kua miongoni mwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

    Why so much concerned with CHADEMA issues? You know what?....mti wenye matunda baba, hauwachi...............................................!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wasomi wetu hawauziki…!

    Uko sahihi mia kwa mia!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Eh..bwana kweli, hana sababu ya kuomba radhi!
  7. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Kama ni kweli,.... hiyo hata kipofu hawezi kubali !!
  8. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Kumbe inauma..eeh? "There should be deliberate effort to help Tanganyikans"...good idea, but it's unfortunate that to you, Tanganyikans means those coming from up country and not the coastal ones. We've suffered alot frm unemloyment, discrimination, and negligence in your hands..swahilis to you...
  9. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Ndugu, 'funika kombe...' hali ni tete, watu wanatumia kigezo cha elimu kuhakikisha jamii nilizozitaja zinajutia asili na tamaduni zao! Kama wenyewe wanavyodai " kweli elimu hatuna basi hata UDEREVA au UMESENJA?
  10. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Ni uwoga tu, mi naamini kwa elimu zao zile za madresa hawawezi kukolifai ajira yoyote, ukitoa zile za kisiasa za muungano!
  11. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Hello jamii forum!
  12. B

    JamiiForums Tanzania 21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Tatizo kubwa hapa ni kutojua hali ya mambo ilivyo kule Z'bar, kuna ukweli kwamba idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali ya Z'bar ni watu wa pwani ya Bara kama vile Wachole( Mafia), wandengereko, wazaramo, wamakonde n.k Ki historia jamii hizi zimetengwa na kudharauliwa sana huku Bara na kuona...
Back
Top Bottom