Recent content by Baraka sheni

  1. Baraka sheni

    Naombeni kazi au kibarua njee ya taaluma yangu

    tumsaidie huyu kijana ili aje ashindwe yeye
  2. Baraka sheni

    Naombeni kazi au kibarua njee ya taaluma yangu

    pole sana ndugu kama nitabaatika kuongea na wenye mamlaka nitakujibu uje tushughulike wote
  3. Baraka sheni

    Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    mkuu operator wako wa heavy machine mkuu bado machaka hayaja funguka
  4. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    dokta chanjo ya rota hajapata kwa mujibu wa mama mtoto maana mm ni baba mtoto. choo cha mtoto ni cha chenga chenga cha njano mtoto hati kula kabisa kwa hiyo pale una mlazimisha anakuwa ataka kujitapisha chakuja chake hasa ni uji lishe viazi mchanganyiko ndizi na ugali. meno amesha ota ila...
  5. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    samahani ulitibiwa hospitali gani daktari yupi nipe mwanga au hata dawa ulizo tumia msaada tafadhali sielewi cha kufanya
  6. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    ndio anahalisha ila ameanza juzi kuhusu kutapika ni hadi pale unapo mlazimisha kula anakuwa kama anajitapisha maana hataki kula kabisa. chanjo ya rota hajapata ila kwa mujibu wa kadi yake chanjo zote kapata vipele hana ndio anakohoa meno yamesha ota tayari utosi upo juu tatizo...
  7. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    shukrani mkuu ila moja ya dawa ulizo tumia unaweza niambia pia hata kwa daktari ulipo enda wewe unaweza niambia pia
  8. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    Poleni na majukumu. Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo haliishi. Vipimo walivyokuwa wakichukuwa :: MRDT URINE RBG FBP Dokta alisema ana maambukizi kwenye...
  9. Baraka sheni

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu mwenye mkeka wa leo nijaribu namm
  10. Baraka sheni

    Namna ya kupata ajira nchi za nje

    Wakuu poleni na majukumu, Katika pita pita za mitandaoni nimeona baadhi ya nchi zikiwa na uhitaji wa wafanyakazi hivi ni nchi gani huwa wanachukua wanyakazi tz hata wale vibarua wa mashambani. Je, taratibu zikoje ili niweze kufanya kazi huko? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom