Recent content by BARAKA N RANGE

  1. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Tantech services

    just uliza kama una maswali ,pia hatuhitaji password yako ya account yako.
  2. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Tantech services

    Karibu Tantech ujipatie huduma mbalimbali kwa bei nafuu kama website,system,application design.,Digital marketing,social media boosting followers tiktok 1k=8000tzs instagram 1k=8000tzs likes tiktok 10k=12000tzs instagram 10k=12000tzs views tiktok 10k=10000tzs instagram 10k=10000tzs karibu...
  3. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ideas to establish "Tantech Association: Empowering Youth Innovation Through Technology Partnerships"

    usijali kaka soon nakutumia link ya website upate juzi mbalimbali
  4. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    Zingekuwepo na zingekuwa na ufanisi nisingewaza hivi ndugu! Issue iliyopo now it is not kuwa club za tehama zipo usione mpaka nafikiri hivi zijafanya research hapana nimefanya research ndo maana nikaona kuna kitu kinamiss kwa club hizo za tehama...
  5. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    thanks alot kwa kunipa hope ni moja ya force mnayonipa nizidi deeply thinking on how my idea can develop,thanks again. .
  6. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    thanks alot kwa kunipa hope ni moja ya force mnayonipa nizidi deeply thinking on how my idea can develop,thanks again🙏🏽
  7. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Progress of Tantech

    Itainclude mostly Computer experts,(Science of technology) na Stakeholders nchini ambao pia wanaweza saidia vijana katika section mbalimbali.
  8. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ideas to establish "Tantech Association: Empowering Youth Innovation Through Technology Partnerships"

    Nimekuelewa kaka ,,but nikisema vingine nifanye kimya nitakwama baadae then later on nitakosa msaada maana itakuwa ngumu baadae kuwaelezea wadau kama ninyi
  9. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    Maono ni mengi ,ndugu yangu sema vijana tunakosa sapoti kutoka kwa expert mbalimbali.. Ndo maana nimeleta swala hii mbele yenu wadau
  10. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    utoaji wa elimu ya sayansi ya kiteknolojia kwa watu mbalimbali nchini hasa kwa vijana... Kupata elimu na juzi mbalimbali kutoka kwa wabobezi wa sayansi ya kiteknolojia wanaotoka nchini Tanzania. Pia itatoa nafasi kwa vijana wabunifu kuweza kuonyesh bunifu zao ambapo watapata shirikiano...
  11. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    ni kwel ulivyosema kaka..Nadhani mbeleni litafanyiwa mkakati mzuri...!
  12. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    Thanks bro kwa mawazo yako ya dhahabu nitayafata
  13. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

    asante sana napambania lije kutusaidia vijana baadae
Back
Top Bottom