Recent content by Baraka Alfred Bigilimana

  1. Baraka Alfred Bigilimana

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje?

    Habari, Naitwa Baraka, nimeona hii post yako nikatamani kujua kama ulipona na ulitumia dawa gani? mimi pia ninalo tatizo hilo kwa muda mrefu sasa.
  2. Baraka Alfred Bigilimana

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

    Bro mbona unajaa upepo hivoo, messi kupata kikombe hicho ni chachu tu maana kiukweli ni jambo lilikua linamkera sana CR7 alifanya hivo 5 yrs ago! bado kikombe hiko hakimfanyi mess kuwa zaidi ya mwenziwe kumbuka hawa ni wachezaji wawili tofauti kila mmoja ana ubora usiofanana wala kufikiwa na...
  3. Baraka Alfred Bigilimana

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    kwani wote wanamawazo kama yako? sio kila mtu anapahitaji.
Back
Top Bottom