Recent content by Baraghash

  1. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

    Dr Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi POINT OF CORRECTION so kweli labda Bara lwenye mazezeta wuni.Zanzibar nchi mshirika na Tanganyika nawa walionda Jamhuri ya Muungano hawako upande wake. Takwimu za NEC za uchaguzi wa 2015 zinaonyesha luwa chaguo lao ni Lowassa,
  2. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania

    Kiswahili kibovu cha kanda ya ziwa au taarifa potofu, Ilipaswa ielezwe hivi Rais Magufuli amemthibitisha Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Rais tayari alishamteua Prof. Ibrahim Hamis Juma huko ku kaimu nafasi ya Jaji Mkuu . Kumbe le;e;e zasu zimesaidia. Mungu akuafu haraka.
  3. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume Alikuwa mwiba mkubwa wa utawala wa Nyerere na hasa muungano!
  4. Baraghash

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Tutawashughulikia watu wasiojulikana kwa njia zisizojulikana kama Polisi imeshindwa

    BAVICHA: Tutawashughulikia watu wasiojulikana kwa njia zisizojulikana kama Polisi imeshindwa kwa sababu zisiojuulikana
  5. Baraghash

    JamiiForums Tanzania siasa za upinzani zinadhalilisha utu wa watanzania.

    Nakubaliana na mawazo yako finyu na ya wachache khusu upinzani hata kufikia kuona kuwa njia pekee ya kuwaziba midomo ni " style" hii. Hivi wapinzani wanaruhusiwa kufanya siasa mpaka kufikia kusema kuwa siasa zao zinaudhi?. Siasa kwa vyama upinzani Tanzania imepigwa marufuku mpaka 2020...
  6. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

    Unataka kusema hili tukio la Dodoma limwandaliwa kwa Polisi kulipiza kisasi kwa mauaji ya Kibiti? Wacha ujinga na unafiki usiokuwa na mithali wala maana.Hivi kule Kibiti walikufa raia ni watatu tu. Wale makundi waliouwawa na polisi ambao wote wanakufa wakikimbizwa hosptali walikuwa ngombe...
  7. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa walilolifanya Tanganyika Law Society (TLS)

    Kwa hivyo unataka kueleza kuwa kosa hilo la kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Rais wa TLS kwa kura nyingi tena na wasomi,adhabu yake ni kifo kwa upigwa risasi hadharani mchana kweupe? Shame on you!!!!!
  8. Baraghash

    JamiiForums Tanzania The Washington Post: Tz Democracy dies in darkness

    Suspicions always lead to arrest on suspicion of attackers
  9. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani mkubwa aliyepewa Almasi ya Dola milioni 200? Mali zake zitaifishwe!

    Sio wakubwa kuwa muwazi. Hawa ndio viongozi wa CCM.USIJITOE KIMASOMASO.Nchi inaangamizwa na CCM naiataburuzwa na mkondo huo na dawa pekee kukukiondoa madarakani kwa sanduku la kura na mahakama.
  10. Baraghash

    JamiiForums Tanzania CUF yaongea na waandishi wa habari kuhusu wabunge walioapishwa jana

    Angeanza JECHA!
  11. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Swali la Mama Salima Bungeni: Lini serikali itapiga marufuku uingizwaji wa headphone?

    Tusimshangae: Hiki ni kimoja cha ya kipaumbele cha chama tawala kwa watanzania.Hongera Mama Salma kwa kuwakilisha.
  12. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    POLEPOLE: Ninakuheshimu lakini umenivunja moyo yakuamini kuwa tokea ulipopchikwa cheo ndani ya CCM akili zako za kupima na kutafakari zinasinyaa kwa mwendo kasi. Ni sawa a kumuulizamtu kuwa eti Pemba kuna mkarafuu? POLEPOLE unanikumbusha ilipofunguliwa Hoteli ya Bwawani Zanzibar , mtangazaji...
  13. Baraghash

    JamiiForums Tanzania BUNGENI, DODOMA: Wabunge 7 wa CUF waapishwa, UKAWA wasusa na kutoingia bungeni wakati wa kuapishwa

    HIVI ZITTO KABWE NAE AMASUSIA NA KUTOKA NJE ?
  14. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Kusema Tanzania ijifunze demokrasia toka Kenya ni kutuchafua

    1.Watu wenye akili watashangazwa na kushangaa kwa kodazwa na ukweli kuwa Tanzania kujifunza demokrasia toka nchi jirani ya Kenya sio tu baada ya mahakama kuu kufuta matokeo ya uchaguzi wa Rais na kutangaza kurudiwa kwa uchaguz lakini kwa kila kitu. Pengine hujitambui tu Tanganyika ilipata...
  15. Baraghash

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Zanzibar sasa kusaka njia kujitoa Muungano

    OVYOOOO Nani anamnyonya mwenziwe. Wazanzibari hawapumui Hhata hawapumui. Hata wakishinda uchagyzi hawapewi nchi yao, ..
Back
Top Bottom