Recent content by Barafu ya moto

  1. B

    Umalaya ni mbaya sana! Ewe mwanaume mwenye familia, itunze

    Hili bandiko lako ukiliangalia vizuri kwa jicho la ziada utaona wazi kuwa wewe ulikuwa na bado una shida ya wivu na chuki dhidi ya huyo jamaa yako na unafurahi kuanguka kwake. Unajisikia Raha na kudhani Hana akili wewe ndo uko smart kwa sababu sasa hivi kaelemewa na majukumu. Umeandika kwa...
  2. B

    Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

    Tunapaswa kusimama kama watanzania. Kifamilia tulishafeli mara baada ya kupata uhuru 61. 98% ya familia za watanzania ni masikini na fukara kupindukia. Mchanganyiko wa damu, kutembea sehemu mbalimbali, kubadili makazi na kujichanganya bila kujali wewe ni msukuma, mnyakyusa, mdigo, mkerewe, muha...
  3. B

    USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Bado naona kama una cha kumsaidia kwa ushauri, si vibaya vibaya kushauri. Maisha haya Yana mambo mengi sana na ajali zipo tu hata ukiwa makini kiasi gani.
  4. B

    USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Keshaachwa kabisa. Tena kwa talaka. Jamaa kaipeleka kesi kwa siku chache tu ikaisha hiyo. Hakuna aliyetegemea.
  5. B

    USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Umenifanya nicheke. Sio mimi muhusika siku ya tatu leo yuko hapa kwangu. Ni mpole balaa, Hana amani. Mimi binafsi pia nilikuwa na mchepuko wa aina hiyo, Ila toka jana nimeamua kuangalia namna nyingine.
  6. B

    USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Nadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto. Huyo mchepuko alikuwa ni mke wa mtu na amepigwa chini baada ya mme wake kugundua kazaa na huyu jamaa yangu. Mtoto kweli ni wake na yeye anakiri. Anajihisi hatia kuvunja ndoa ya mchepuko wake...
  7. B

    USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto. Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto kweli ni lake kwa vigezo vyote. Ni jambo gani sahihi kwake anapaswa kufanya juu ya yule mwanamke...
  8. B

    Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

    We ndo unataka kumwimgiza chaka.
Back
Top Bottom