Recent content by Barackobama

  1. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    Elimu bure ifutwe, posho ya madaraka iondolewe hili ndiyo mwarobaini wa kuepukana na changamoto hii. Kuhusu maslahi ya walimu kuboreshwa huu umekuwa ni wimbo wa taifa uendelee kuimbwa!
  2. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    Ni miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali. Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza...
  3. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Je, kipimo cha full blood pictures kinajumuisha vipimo vyote pamoja na Ukimwi?

    Join nowSign in Silvanus Kidesi Expand search FAHAMU KIPIMO CHA FULL BLOOD PICTURE Na Silvanus Kidesi Silvanus Kidesi Silvanus Kidesi Is a Medical Student @kcmucotz,MD… Published Jun 14, 2022 + Follow JE KIPIMO CHA FULL BLOOD PICTURE KINAHUSU NINI? Ni kipimo cha maabara kinachohitaji sampuli...
  4. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Ukiwa ndani ya mitandao ya jamii ni muhimu kutambua kwamba unashiriki mijadala mbalimbali kwa kujenga hoja kwa namna tatu ama mbili yaani kuunga hoja,kupinga hoja na tatu kukaa kimya "yaani hujui,haikuhusu nk". Hoja inapoletwa na wewe kutoa mchango kwa kurusha vijembe hayo ni maisha ya "...
  5. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  6. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB

    CRDB IMEFIRISIKA THIS IS SERIOUS HAWANA FEDHA ZA KUKOPESHA WATUMISHI ZAIDI YA UJANJA KAMA HUU. MAELEZO MENGI UTEKELEZAJI 0!! HOVYO KABISA. MKIWA NA SHIDA YA KUKOPA NENDENI NMB UHAKIKA KWA 100% NDANI YA SIKU 7 TU!!
  7. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    NMB TAYARI
  8. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    KWANGU BADO. SIJUI NIKO BATCH YA NGAPI?
  9. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Mshahara (NMB). Mm nipo CRDB BADO
  10. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    NMB KAWEKA
  11. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Sidhani kama hata check number unayo!!!
  12. Barackobama

    JamiiForums Tanzania CRDB mbona hamuweki hela na nilishatimiza msharti ya kuewa mkopo

    HADI SASA HUJAPATA MKOPO ULIOOMBA?
  13. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Okey!! Sikuchukua bali nilikua najaribu kuona kama naweza kuchukua!!
Back
Top Bottom