Recent content by Barabarani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Karne hii bado unawaza kwa conception za kimapovu? Da! Tunachojadili ni uhitaji wa “consistency” kwenye Alama na sheria za barabarani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Exactly. Wanachanganya sheria za guarded (controlled) pedestrian crossing NA unguarded(uncontrolled) pedestrian crossing.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Hakuna logic. Ni kwa sababu wahusika wenyewe hawafahamu sheria ya usalama barabarani vizuri
  4. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Haha. Huko ni ku-risk maisha. Bora mtu aachie lori liende kwanza kama limeshafika kivukoni
  5. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Exactly, sio kukosa creativity tu ni kukosa ufahamu pia.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

    Sehemu nyingi nchini wameweka hii mistari ya “Simama” (Stop lines) kwenye kila vivuko vya watembea kwa miguu. Japokuwa lengo ni zuri, pengine wahusika hawajafikiria vizuri hasara, usumbufu na mkanganyiko unaoletwa na hii mistari. Nitatoa mifano michache tu. 1. Stop Lines peke yake bila kuwepo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiulize busara ya kugomea $450m ya MCC, kisha kukubali $300m toka kwa wezi.

    Busara ipo wazi. $300m ni malipo ya deni kwa makubaliano. $450m ni deni lililopakwa rangi ya msaada.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Mkuu Issa hiyo app ya mafundisho. Ni kozi kama kozi zinginezo. Nafikiri ingekuwa vizuri kutambua kuwa hiyo ni sawa na bure ukizingatia gharama za kutafiti kila alama, kutengeneza app na kuilipia iwe published google store/App Store.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Thanks mkuu kwa mrejesho. App haizidi MB 27 kwa platforms zote. Ni app ndogo na nyepesi kupita kiasi.Kama inawezekana tupia screenshots hapa tu one inasemaje. Itatusaidia kujua tatizo lipo wapi. Umeangalia kama simu yako ina space ya kutosha? Ps: kumbuka pia full version ni sh 4000tu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Thanks mkuu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Fuata link hapa mkuu upakue toleo la majaribio Alama Barabarani Quiz Lite on the App Store
  12. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Thanks mkuu. App yetu kwa Android devices ni MB 23 tu kwa IPhones ni MB 27 tu na zipo fast. Kama unaweza nitumie screenshoot yake tuangalie hitafu ipo wapi maana mb385 ni hatari kupita kiasi kwa Mobile app!! Hebu cheki vizuri. Pia unaweza kutuma message kwa Facebook.com/alamazabarabarani
  13. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    S = Stop
  14. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    “S” maana yake ni “Stop” na huwekwa hasa kwenye barabara za basi (bus lane). Huwa ni “ishara” (light signal) lakini pia kuna vibao vya “no stopping” vyenyee S iliyokatizwa na mstari. Pakua hiyo application upate maelezo ya Alama, Ishara na Michoro ya barabarani.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Application Bora ya Alama za Barabarani

    Alama za Barabarani Quiz Application ni Application ya simu inayokuwezesha kujifunza kuhusu ALAMA na kanuni za USALAMA BARABARA NI. Trial/free version Ipo Play Store na App Store: Alama Barabarani Quiz Lite on the App Store PlayStore: Alama Barabarani Quiz Lite – Програми Android у Google...
Back
Top Bottom