Recent content by Bao Bonye

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake waliolewa tu, ni kweli kila siku mnafanya mapenzi?

    Mimi nina miaka saba ndani ya ndoa, na tuna-do daily na hakuna kuchokana! Mapumziko ni siku mama akiwa kwenye siku zake!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    Mkuu tujuze mpango wako umefikia wapi? Mimi nnatamani kujaribu maisha Canada, bado sijapata mtu wa kuniongoza!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania New Bus on Sale

    Basi ya 2005 hii? Nyie ndio mnafanya watu wasiaminike na matangazo yao, hata hiyo bei haireflect kitu unachouza!
Back
Top Bottom