Sio Wapare, bali Vam-phare, au Va-athu / Va-asu. Katika jamii za Kichagga kwa mfano Wamarangu, Wakibosho, Je kuna maneno kama hayo?
Wapare au Waasu ni mchanganyiko wa makabila mengi ikiwemo Wakamba, Wataita, Wasambaa, Wazigua, Wachaga, na wengine. Habari kwamba waliwahi kufukuzwa mahali fulani...