Recent content by Bangu-silo

  1. Bangu-silo

    UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Vivian!! Umenishtua sana rafiki yangu. Nakumbuka 2011 kwenye harusi yangu tulivyokuwa tunagongana kwenye kwaito.
  2. Bangu-silo

    Ananinyanyasia watoto wangu kisa yeye hazai, sijui nimfanyaje?

    Mkimbize huyo mwanamke asikutesee watoto, watoto wako wanapohuzunika hata mama yao huko aliko anakuwa hana furaha na wewe na iyo inaweza kupelekea mambo yako yakawa yanaharibika. Kama kweli ulimpenda huyo mkeo wa awali...achana na huyo mwanamke.
  3. Bangu-silo

    Naomba ushauri: Nimeachana na mpenzi wangu wa siku nyingi kisa dini

    Katika maisha yangu ya ujana sikuwahi ku-du na msichana wa dini nyingine. Hakika nilikuwa mbaguzi na nilikuwa makini sana katika suala zima la dini
  4. Bangu-silo

    Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

    Eti "wivu wa kike...." ni lini nchi hii itaondokana na mfumo dume?? Kuna wanaume kibao wana wivu kuliko hata hao wanawake......!!
  5. Bangu-silo

    Mke wangu wa pili anataka nimuolee mke wa tatu

    Katika zama hizi za ukimwi bado kuna watu wana wake wawili na wawili na zaidi?
  6. Bangu-silo

    Wasichana wenye degree na kazi nzuri wanaona hizo ndio ulinzi kwenye mahusiano/ndoa

    dada sophia aliwahi kusema humu ndani kuwa digrii haitunzi mume na kwa mujibu wake yeye aliwahi kuudhuria mahafali ya rafiki yake akaona izo digrii zinavikwa kichwanii.....kweli hainaga digriii!!
  7. Bangu-silo

    Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

    Ni upuuzi kubadili badili dini....!!
  8. Bangu-silo

    Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Giza na Mwanga haviwezi katu kukaa pamoj. Kuna mistake hapo ilitokea tangu awali.
  9. Bangu-silo

    Mrejesho: Alinialika tuishi wote, sasa anadai nichangie kodi

    Ilo andiko lipo kwenye kitabu cha Mwanzo kweli??? me nadhani lipo kwenye agano jipya kwenye kitabu cha Efeso vileee
  10. Bangu-silo

    Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

    Mwambie, Kuwa mwoga ni aibu, tena ni aibu kubwa ila waoga usimama vifua wazi mbele ya nyumba zao wakionyesha makaburi ya hao walioitwa mashujaa...Akili kumkichwa, jifanye shujaa utukusanye tuje tukuimbie wakati tunakupeleka makaburini au uwe mwoga jioni urudi nyumbani kwako salama huku umebeba...
  11. Bangu-silo

    Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

    Kweli majini nayo ni viumbe!! Pole huyo ni jini achana nae
  12. Bangu-silo

    Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Waheshimu baba yako na mama yako ili upate miaka mingi ya kuishi....Katika Mithali zake mfalme Suleimani kuna shm anasema mwanangu sikiliza wosia wangu....achana na hao wachaga na pia jaribu sana kusikiliza wosia wa wazazi wako, mara nyingi wazazi uwa hawakosei. Mi nilikatazwa kuoa mchaga...
Back
Top Bottom