Bila magu kuwa hivi afanyavyo hatutafika kamwe,
My president nakuunga mkono asilimia zote , endelea kukaza kabisa Ila kwakuzingatia khaki n.a. bilakumuonea mtu kwani hayo ndio mafanikio ya nchi hii
Nafikili ni wazo jema kama anawawajibisha mafisadi , anatoa elimu bure mpaka kidato cha nne,anafufua viwanda, anahubiri utawala wa sheria n.a. khaki , anataka watanzania wote wafanye kazi sioni vibaya akiendelea Hat a miaka 30 ivi
Magu jifunze kwa kagame alivyouza mashangingi kwa garama kubwa nakuwakopesha magari ya beinafuu viongozi wote waserikali ilikupunguza matumizi mabaya ya fedha
Magu funga yeyote atakaekutwa n.a. hatia awembunge ,wazirimstaafu au aliepomadarakani, katibuyeyote au mkuu wa idara yeyote ilimradi tu sheria ifuatwe kwa kufanya I vyo nchi itanufaika n.a. wananchi wake kutokana n.a. maliasili zake
Milion40 bado ni nyingi ndani ya taifa kama tz ambamo wanafunzi wanakaa chini wamama wajawazito wanakufa wanapojifungua kwakukosa Dawa raia wa kawaida anakula mlo mmoja , magu nakusapoti piga chini iyo mishahara , mungu akulinde eèeee rais wangu M pendwa magu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.