Unajua ukishakuwa umesoma hutakiwi kukurupuka huyu bwana amekurupuka halafu anatoa ulinganifu ambao huwezi kuulinganisha kabisa analinganisha Kigamboni na Kigongo kiumbali wala havilingani au Kamanga na Kigamboni au hata Pangani safari ya dakika tano haiwezi kuwa sawa na safari ya dakika...
Haya tena Magufuli anadhihirisha ulevi wake anawaambia wakazi wa Kigamboni wapige mbizi sijui anafikiri kwa kutumia makalio maana hata hizo degree zipo za chupi na za ...... kwa watoto wa kiume.
Kama wapinzani watakaa vizuri jimbo la Kigamboni lipo vacant tayari wakazi wameamini hakuna mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.