Recent content by bandu bandu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Inavyoonekana hapa nachangia hoja na kitoto cha 2010
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Kwani wachezaji wa National team wanaocheza kwenye timu zao za Taifa na kisha kucheza WC wanatoka hewani ?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    We unaongea nini wewe dogo, kweli yaani hizo club ulizozitaja unaweza kuzilinganisha na club za Bongo hata Al Ahly na bajeti yake kubwa haiingii hata robo kwenye hizo timu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Kwahiyo Macron Rais wa France alivyoenda Qatar kuona fainal ya France vs Argentina nayo ulikuwa ni utoto?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Huyu masai wa kimara namjua ni kimeo over kimeo ilaa huyo kimaroa sijamfuatilia sana ila naamini hatua stahili zimechukuliwa dhidi yake sidhani kama viongozi wamekengeuka
  6. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Tuanze kwanza na tume huru dhidi ya mashambulizi ya Tundu Lisu kwanza
  7. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Ruth Meena apingana na Profesa Mkandalla, asema Wanawake siyo Kundi Maalum kwa sababu Wanawake ndio wengi kuliko Wanaume

    Huyo prof.alitakiwa kwanza kupingana na uteuzi wa wabunge wa viti maalum
  8. B

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Hivi wewe unaweza kuvaa viatu vya mama yako au vya mke wako?embu jiongeze basi uelewe.Aliyepita ni alieyepita na huyu ni huyu ni watu wawili tofauti
  9. B

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    We mzee una akili ndogo kama kisoda viatu kutokumtosha siyo maana kwamba hana uwezo ni hivi mfano mdogo tu.Kama mwendazake alikuwa anavaa namba size 7 na yeye size namba 5 obviously hivyo viatu vya mwendazake haviwezi kumtosha hata kama ni vya kampuni moja.Kwa mfano huo mdogo nafikiri utakuwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

    Wacha uongo wewe hao hata wasio kwenye ajira rasmi wanalipa kodi ya VAT au hujui kodi ya VAT anayeilipa ni mlaji?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

    Kwahiyo ukipima ngoma majibu yakaja negative basi uendelee peku peku bila zana kisa iko negative?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Magufulism and Nationalist People Party kupambana 2025

    Ndugu yangu umeandika utumbo mtupu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania (ATCL) yasitisha safari za Ndege kwenda Mumbai India

    Tulitakiwa kuanza kuzuia wanaotoka huko kuingia nchini.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

    Akijiuzulu atakosa mafao na atatakiwa arudishe one month salary ngoja atapangiwa kazi nyingine
Back
Top Bottom