Recent content by BANCOC

  1. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kampuni moja mkuu. Nipo kiwandani tunazalisha Mabati lakini kiwanda chetu ni wakala mkubwa wa kampuni ya tailes Goodwill.
  2. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jamani kwa wale mliopo Dodoma au mnataka kujenga Dodoma kama Insider mje inbox niwauzie vifaa vya ujenzi hususani Mabati,tailes na Pvc pamoja na marine body. Cantact 0788655172.
  3. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahaha Ila wagogo wana mit...ko flani hivi huwa inawabebe shida ni face. Inserderman umetisha Sana...,makulu, iyumbu, Morena , golden pork na bambalaga ni maeneo ambayo kila siku tunakatiza wenyeji wa dodoma.
  4. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ngoja nipitie chap kwa utulivu mkubwa
  5. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bonge la story usimuliaji Bora kabisa,pia kuuna story flani ilikuwa anasimulia dada flani nayo nzuri pia imepotea siioni ilikuwa inasema kutoka kula kumla kimasihara mpaku badilisha maisha yake?? Msaada mwenye link please.
  6. B

    Mrejesho: Nimemuacha rasmi binti wa kimeru, hajanitafuta siku tano mfululizo

    Hapo sijaona shida yoyote sema tu mademu wa kimeru au waarusha/wamasai wa mjini na Arusha kwa ujumla ambapo ndo nyumbani kwetu kwanza ulimwambia unampenda haamini hasa Kama wewe ni mtu wa kuja wa mkoani,sifa ya pili hawapo romantic kabisa anaweza asikutafute makusudi akiamini hilo pia ni jukumu...
  7. B

    Hataki tufanye Sex zaidi ya kuromance mpaka nimuoe licha ya kudumu naye kwa Miaka minne

    Unamjua binti mlokole wa kaka Fure kwenye tamthilia ya jua jua kali
  8. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni muhimu sana mkuu
  9. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kimasihara last week alihamis napokea namba ngeni ya kupokea ni lafudhi ya kihindi Ila kwa kingereza akinihitaji kuhudhuria Jambo flani jiji la Amos Makala nikamjibu sawa nitafika bila kukosa,kumbuka Mimi nipo makao makuu ya chama na Serikali. Ijumaa saa 12 napokea simu ya mfanyakazi mwenzangu...
  10. B

    Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umenikumbusha nilikuwa napiga sound pisi moja ikakubali shida ikawa kila nikipanga tuonane anakuwa anasitasita..siku moja nikakomaa nayo akaniambia sawa ila iwe kuanzia saa moja na nusu usiku..kwenda ananiambia zima taa nikala kimoja chap...baada ya hapo akaanza kujieleza mwenyewe ujue ule mtaa...
  11. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah umenikumbusha Bruce alikuwa na hasira hasira...kwao anajulikana ni profesa... Ila pale udsm wakagoma kwamba yeye ni Dr
  12. B

    Mke wangu ni mchoyo

    Leo kuna jamaa ameuliza swali nikabaki nashangaa...anauliza hivi mbona nikienda bar nalipa bill elfu 50 na anaona ndogo ila kula elfu 20 tu nyumbani na familia yake per day anaona kubwa sana
Back
Top Bottom