yaelekea mtoa mada anataka apige peke yake pesa ya forex anaona wivu watu wengi kuwa na elimu hiyo. kwa taarifa yako anafanya shughuli yake kihalali na vibali vyote anavyo.
Kama sikosea askofu Kakobe alimuonya Kikwete kuhusu kilichokuwa kinaendelea ndani ya CCM na asipokuwa makini chma kingepata wakati mgumu kwenye uchaguzi 2015. kilichotokea kikwete na wana CCM hawatakisahau. Nashauri maono yake yaangaliwe kwa makini na si ushabiki.
Nashauri huo ushahidi auhifadhi tu ipo siku utafanya kazi hata ikiwa awamu ijayo. mara ngapi tumesikia viongozi wengi wakishitakiwa kwa kosa la rushwa waliokula miaka kahaa iliyopita?.
Hapa ndipo ninapopata shida na baadhi ya taasisi. Mimi nilidhani kinachotakiwa ni ukweli wa tuhuma na si vinginevyo. itakuja siku utakataliwa ushahidi wa ukweli kisa tu katoa mtoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.