Recent content by Ba'mdgo

  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanzisha mgogoro na China - Yamshitaki balozi wake Umoja wa Mataifa!

    Mnaonekana nyinyi CCM jinsi mnavyoendesha mambo kimazoea, kwahiyo unataka kwa sababu kunamatukio mengine yalifanyika huko nyuma basi yakitokea mengine hata kama sio halali basi yaachwe tu. na pia point zako azina ushirikiano kwanza juwa majukumu na mipaka ya mabalozi, balozi kukutana na Mengi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kufungua matawi CHADEMA iongezwe

    Umenena vema mkuu, ushindani wa kweli, uleta maendeleo, siku hizi yapo mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kiolela na bila mwanchi kujuwa ila kuwepo kwa vyama vya upinzani na hasa hasa CDM wameleta mapinduzi makubwa nchini, watu wanajuwa na kufuatilia yanayotokea.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA mafisadi wapo... Unabisha?

    Hapo umenena vyema ila umeshindwa kutambuwa kwa nini CCM kinatajwa chama cha mafisadi, ni pale chama kinashiriki kitika ufisadi huo au kiongozi anafanya ufisadi kisha chama kina mlinda hapo ndio tunasema ccm ni chama cha mafisadi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Dr. Slaa kisiasa na anguko lake kabla ya 2015

    Haya tusubiri mtabiri, lakini kulinganisha CDM yenye watu makini zaidi ya Ishirini na vyama vilivyopita vya CUF na NCCR sikubaliani nacho kwani vyama hivyo vilintegemea ntu mmoja Lipumba na Mrema...... Wakati CDM kuna majembe mengi Dr slaa, mbowe, Lissu, Mnyika, Lema, Marando, Prof Safari, Dr...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wataka wabunge 2015 kufanya mtihani

    Labda uwe ni wakupambunua mambo, tofauti na hivyo sidhani kama uitakuwa poa kwani kuna watu wanauwezo wa kupambanua mambo lakini ukiwarudisha darasani hakuna kitu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rombo, Josefu Selasini awapasha wabunge juu ya tukio la Arusha

    Asante mbunge wangu.....
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washindwa kulipa kodi ya nyumba, wafukuzwa ofisini!

    Bora ungeandika hayo kama Office za makao makuu wameshindwa, kwani kwa mtu kama wewe uliye wai kugombea mpaka ubunge aipendezi kuandika vitu vidogo vidogo kama hivi, kuwa mwanasiasa kijana, msoni na mkomavu wa kujadili hoja nzito na pana ndio watu watakukubali. Acha mambo madogo madogo kama hayo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

    well done Tundu Lissu, imeandaliwa kisomi kwa hali ya juu ukiwa na akili nyepesi, ni kwa wale tu wajali nchi hii wataielewa......
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataja kikosi chake cha maangamizi kata nne za udiwani arusha...

    Thanks God, kwa kuwapa ujasiri watu wa Arusha nasubutu kusema maendeleo mtayaona, kwani siku zote watawala wamekuwa wanawaonea watu wasionyesha ujasiri na kuwanyonya na kuendelea kubaki na umaskini siku zote. Na walitumia mbinu hiyo ya kutuubiria kuwa watanzania watu wapole huku wanatunyonya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi imeanza kuhujumu CHADEMA uchaguzi mdogo wa madiwani-Dr Slaa

    we ndio hujui, hata kama wangeambia moja kwa moja kwa mdomo, siku zote mambo yanafanyika officialy kwa barua
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Nyerere “Hivi huyu na mimi sote tuko chama kimoja?”

    ujui sasa hivi ukikitukana CHADEMA unapata cheo bila shida?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    awachelewai kusema CDM au Lema ndiyo imewatuma wanafunzi kuandamana kwani siku hizi wakisikia maandamano wanadai CDM imetia hapo mkono wake, kwa hali hii awawezi kutatua matatizo ya wananchi kwani badala ya kuangalia tatizo lao wanakimbilia kulaumu CDM.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli vurugu za Arusha wanachuo wawili wamefariki?

    katika taarifa ya habari ITV walisema ni mwanachuo mmoja aliyepoteza maisha
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kanda ya Ziwa Magharibi (Mza, Kagera na Geita), kufanya maandamano kumng'oa waziri Kawambwa!

    Ni kwa aman na waturusu tufanye kwa amani
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya 7 baada ya CCM kurusha "kete"... Wamefanikiwa asilimia ngapi?

    ni kweli mkuu mm natokea jimbo la rombo, kabla ya uchaguzi mkuu 2010 mjomba wangu alikuja huku dar ktk kuongea ongea tukajikuta tunaongelea uchugu na namna kampeni zinavyoenda kipindicho, kabla ya hapo alikuwa ccm damu, ila alidhiriki kusema ccm haina lao, watu wa kule wanakikubali CDM sana...
Back
Top Bottom